NDEGE ILIYOANGIKA jana

Hiyo ndio wanasema JET FIGHTER? :A S-coffee:

Yes it is......

ndege-ya-jeshi-iliyopata-ajali-jwtz.jpg
 
mbona haijalipuka sasa?au ilikuwa haina wese?......au DEMO hazibebi wese,mimi nina wasiwasi ilikuwa haina mafuta....ila inaonekana ni chuma cha reli,,hako kachuma tu kamepindisha kontena,,,mrusi noumer
 
Jamani bora tuwe wapole, kweli tutaweza vita na ndege za namna hiyo??utadhani zimetengenezwa veta??? Aibuuuuuu......Malawi wakiona hyo ndege c ndo wanapata nguvu kabisa ya kuchukuwa ziwa lote?????
 
sijawah ona ndege ya kivita ya njano,kwa mtindo huu mbona adui hapati shida kbs!
 
hizi ni ndege za mazoezi ..sio za kivita..nafikiri muwe waziii zaidi... na mkumbuke si kila kitu cha kuongea..kama mumeona hata kwenye gazeti hakuna hiyo stori.. tujifunze pia.
tuache uchadema vs uccm
Kwahiyo wanajifunzia Matrekta ili waendeshe makatapila?
 
Sasa kwa mujibu wa ilivorudi ndege mi naona hakukua na haja ya pilot kubofya eject seat! Ndege imerudi iko fresh iyo! Mi naona hii ni dalili ya majeshi ya TZ walivyo woga!
 
Ya mwaka gani? maana hofu yangu ni kwamba itakuwa imetengenezwa kabla uhuru wetu toka kwa wakoloni, so saying imechoka.
 
mmejaa wapuuzi tu hapa......, mnachonga hamjui lolote...,

Ndege za mafunzo hua na rangi ya njano au nyeupe..., na hyo ndege ni moja ya ndege za kisasa za mafunzo duniani.., kama hamjui haya mambo semeni nianzishe thread ya kuwaelimisha kuhusu fleet mpya ya ndege zetu za mazoezi...,
 
Uchakavu wa vifaa muhimu utatuletea madhara makubwa sana. Kwa kuiangalia tu, japo kuwa sio mtaalamu wa ndege inaonekana ni ya mwaka 47. ninahisi ndege ya aina hii ipo kwenye makumbusho kule ilipotengenezwa lakini kwetu ipo kazini.
 
Hii ni rangi ya chama, rangi za jeshi zinatakiwa ziwe na rangi flan za kijeshi ili iwe rahisi kujikamaflej angani! Halafu maintenence ya ndege ya namna hii si kubwa sana jamani? si bora kuwa na mpyamo hata kwa mkopo kweli tumeshindwa na hata mtani hapo jirani?...Hili ni taifa kubwa na linatakiwa liwe kubwa kweli...ukiona leo malawi anakoroma ujue wameshatuchungulia na wameshajua sisi ni dhaifu.

Kwa kuanzia labda tukipata kizazi cha JKT kitasaidia. Mie ninakaribia miaka 40 ndio wale tuliokosa nafasi hii muhimu sasa sijui hapo katikati taifa lina watu kiasi gani ronya ronya...hata kushika bunduki mtihani?
 
Back
Top Bottom