NDEGE ILIYOANGIKA jana

Wacha maneno hayo! Kwa zaidi ya miaka 30, Baadhi ya ndege za JWTZ zimekuwa na rangi hiyo!

Pole kaka.........

sumangumwerekakukunec.jpg
 
Kama una utani na huyo jamaa, we sema tu! Ila ukipita pale Air wing, utaziona hizo ndege za rangi ya njano!

Haya bwana nimefika na nimeiona moja....dah kazi kweli kweli......kumbe hata ndege zinpigwa jeki

The Piaggio P.149 was an 1950s Italian utility or liaison aircraft designed and built by Piaggio. The aircraft was built under licence by Focke-Wulf in West Germany as the FWP.149D.

325337.jpg
 
Wanasema ndege ilikuwa kwenye run way Ilishindwa ku take off so wakatumia parashute!! kwa hiyo hawajui matumizi sahihi ya parashute?? au mambo yetu yale ya kucopy na kupaste??
 
kama ilishindwa kuruka, ilikuaje marubani watumie parachute?

Wanadai ilizingua kipindi ipo kwenye mwendo wakati inataka kuruka, so wakaamua waipaishe juu ndipo waruke. Kama wangeruka na kuiacha kipindi ipo kwenye speed ya kuruka ingeleta madhara zaidi manake kurikuwa na ndege nyingine.
 
Ngege ilikuwa na mafuta?? striking velocity ilikuwa ngapi? mbona inaonekana ipo katika hali nzuri! wabongo kwa kuchakachua tuko juu!
 
Haya bwana nimefika na nimeiona moja....dah kazi kweli kweli......kumbe hata ndege zinpigwa jeki

The Piaggio P.149 was an 1950s Italian utility or liaison aircraft designed and built by Piaggio. The aircraft was built under licence by Focke-Wulf in West Germany as the FWP.149D.

325337.jpg

Mbona siri za jeshi letu la anga sio siri tena?
 
Duh wakati wenzentu wanatumia technologia mpyaaaaaaaa
sisi ndo kwanza tuuuunaaaaamka kutoka usingizini!!!!

NDEGE YA MAFUNZO KWEEEELI IMECHOKA NAMNA HIIIII
TOOOO MANUAL!!:laser:
 
Hivi hii nayo mnaiita ndege ya kivita? The 1950's technology compered to 2012?. Acheni promo za kishamba. Tanzania hatuna Airforce. Kama ipo basi imepitwa na wakati. Mbinu na vifaa vya kivita vya 1950's haziwezi kufua dafu kwa leo
 
hizi ni ndege za mazoezi ..sio za kivita..nafikiri muwe waziii zaidi... na mkumbuke si kila kitu cha kuongea..kama mumeona hata kwenye gazeti hakuna hiyo stori.. tujifunze pia.
tuache uchadema vs uccm
 
Haya bwana nimefika na nimeiona moja....dah kazi kweli kweli......kumbe hata ndege zinpigwa jeki

The Piaggio P.149 was an 1950s Italian utility or liaison aircraft designed and built by Piaggio. The aircraft was built under licence by Focke-Wulf in West Germany as the FWP.149D.

325337.jpg

Huu utani sasa, ndio ndege za JWTZ hizi!? Hii hata Iringa haifiki wacha Lake Nyasa/Malawi...
 
Back
Top Bottom