NDEGE ILIYOANGIKA jana

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,738
155,425
Ndege ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) iliyopata ajali jana asubuhi katika Kambi ya Jeshi la Anga (Air wing) Ukonga jijini Dar es Salaam baada ya kushindwa kuruka. Picha kwa hisani ya JWTZ
254362_10151210950654339_1012857024_n.jpg
 
yeah. hii ni ndege ya kujifunzia, lakini watu kuna kitu hawajui kwamba kifaa chochote cha kivita huwa hakiwi kikukuu. hiyo ikikudondoshea bomu ndo utajua ina ubora gani. mia

Ni kweli kabisa. Kifaa cha kujifunzia hakitakiwi kuwa kichakavu. Ila hata rubani aliyefariki wanasema alikuwa 'LEARNER' ndo sababu alishindwa kumudu chombo. Ni habari ambayo nimeisoma kwa gazeti asb hii
 
DAh kwa mtindo huo wa Nyanja aka wa malawi watatatuvuruga hadi mpakani mwa kenya, km vijindege vyenyewe ndo hivi vimechooooooooooooooka khaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom