Nyamongo kwao
Member
- Jan 1, 2013
- 48
- 4
Naombeni kujuzwa ndege hutumia mafuta gani? Hi ni kutokana na kuishi kwangu mbali na mazingira hayo.
Ndege yupi? Mbauyau au njiwa? Lakini kama ni hizi za abiria hutumia Jet A1
Upo wewe binti?anasemaje jamaa yako Paw?Uko mbali na airport ama na google? Nyie vijana mnatia aibu wallah
yapo ya aina 2...(1) Avgass 100LL na Jet-A1.....Avgass( Aviation gassoline) hii ni aina ya mafuta yenye tabia kama ya petroli bt ni very pure na yana rangi ya bluu ambapo ndege nyingi zinazotumia hayo ni Cessna ndogo na baadhi ya helcopta...ila Jet ndio the main leading Aircraft fuel kwa mdge zote kubwa unazozijua na kuziskia hapa duniani zikiwemo na Caravan..kwa kifupi Jet-A1 ni mafuta ya taa tu...
Zamani tulikuwa tunaambiwa ni mafuta ya taa
Zinatumia mafuta ya taa.