rmashauri
JF-Expert Member
- Jan 29, 2009
- 3,011
- 454
ahsante ndugu,nikiweza nitapata kufika!upike vizuri
Karibu sana, usijali nitaingia jikoni mwenyewe
ahsante ndugu,nikiweza nitapata kufika!upike vizuri
Karibu sana, usijali nitaingia jikoni mwenyewe
hehe,thats so sweet!naweza nikamuacha mume wangu lol
Hujarudi bado?
yap bado sijarudi,unataka unitoe out?
Loh! Mwanza mara ya mwisho kuwa huko ni kama miaka 8 iliyopita... Ila, I love Mwanza,Kabakabana... Ionje meli pia,you will love it... Nenda Bukoba... Kaa siku moja kesho yake ugeuze..
hehe,thats so sweet!naweza nikamuacha mume wangu lol
duh.. ndo naickia leo.!!! Mchna au ucku.??
Hapana usimwache maana na mimi sitaki kesi ndugu yangu. Wewe njoo nikupikie ule basi.
Mwanza Town pale Salma Cone jamaa wanauza Ice Cream nzuri sana na mishikaki, au nenda pale Mwanza institute kuna samaki Sato wa kuchoma
i have to try samaki wa kuchoma tomorrow,thanx mkuu
Kwani Kabakabana ni ME au KE???Kama unataka totoz hunaweza kutembele Nyegezi pale SAUT..lol
Kwani Kabakabana ni ME au KE???
Kama unataka totoz hunaweza kutembele Nyegezi pale SAUT..lol
Kwani Kabakabana ni ME au KE???
Dume hilo wewe uoni ndevu hizo!
Dume hilo wewe uoni ndevu hizo!
Kaka sasa angekuwa binti kumwambia aend sauti tungechemka ila wewe nenda na ukitaka kampany nikupe shemeji yako akupesex doesnt matter here dude
Dume hilo wewe uoni ndevu hizo!