Ndani ya Rock city

Umeziona hizo fungua na funga semi kwenye hiyo "Shinyanga Hotel" hapo juu? Jibu ni kwamba hapana. Nikupe mfano ni kama ilivyo "Magomeni Kagera" dsm na hakuna dsm Kagera Bukoba. Sasa umepata picha?

nimekuelewa ila picha sijapata,
 
Kuna baa flani karibu na ofisi za jiji karibu na barabara ya kuelekea nyamanoro kuna samaki watamu balaaaa
 
Back
Top Bottom