Ndani ya muda gani unaweza kuona dalili za awali za ukimwi kwa muathirika?

Sgaga

Member
Sep 28, 2011
76
13
Ningependa kujua inachukua siku ngapi au miezi mingapi kwa muathirika wa ukimwi kuanza kuona dalili za nje za ukimwi?
 
inategemea na body resistance yako,coz km upo fit utakua carrier 4 all ur lyf! bt weak ata miaka 3 nakuendelea!
 
inategemea na body resistance yako,coz km upo fit utakua carrier 4 all ur lyf! bt weak ata miaka 3 nakuendelea!

mkuu siku chache zilizopita uliuliza hivi: ''hi jf member! aise naomba msaada nmemgonga demu wa mtaani-wakuokota, mchana huu na ndomu ikapasuka! je imekaaje waungwana!''

vipi upande wako mambo yanaendeleaje?
 
Mmmmhh Mzee jipe moyo anza kutubu!!!! Huna jinsi!!!!!
 
kama alivyoeleza Idd dalili kuanza kuonekana inategemea kutokana na kinga za kila mtu,lakini ningependa wanajf tujue kuwa muda wa kujua mtu kama amepata maambukizi baada ya kufanya tendo la ndoa ni kuanzia miezi mitatu, 90%ya watu huweza kuonyesha kama wamepata maambukizi,na wachache inaweza chukua zaidi ya miezi 3 kuonyesha kuwa wamepata maambukizi kwa vipimo vya maabara.wakati huu hakuna dalili zozote huonekana,na akijamiiana na mtu mwingine huweza kumwambukiza maadamu tayari anamaambukizi.
 
Hapo kuna makundi kama ma4! kuna wanaoprogress haraka sana, kuna wanaoprogress kwa wastani na kuna wale wanaochelewa sana kuprogress to dalili, that is UKIMWI! na kuna ambao hawapati maambukizi japokuwa wanakuwa exposed kwa kias kikubwa! kuna studies tofaut tofaut zilizokwisha fanyika, zinazoyaelezea makundi haya tofauti!
1. rapid progressors, wanaweza kuchukua miaka 2-3 kwa dalili za nje kuanza kuonekana.
2. typical progressors, wanaweza kuchukua miaka kama 10 hivi.
3. Long Term Non Progressors, hawa wanaweza kuwa na maambukizi kwa zaidi ya miaka 10 bila dalili kuanza kuonekana.
4. Highly Exposed Persistently Seronegative, hawa japokuwa wanajiexpose kwa kiasi kikubwa hawapati maambukizi!!
 
mkuu siku chache zilizopita uliuliza hivi: ''hi jf member! aise naomba msaada nmemgonga demu wa mtaani-wakuokota, mchana huu na ndomu ikapasuka! je imekaaje waungwana!''

vipi upande wako mambo yanaendeleaje?

Ninaipenda JF kwa reference................imkaa vizuri hii!


kwa mtoa maada!


Jiamini ; Jikubali na chukua maamuzi ya haraka NENDA KAPIME!

Utakufa kihoro bure na badala ya kila miezi mitatu jipe utaratibu wa kupima kila mwezi kwa miezi minne hii!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom