Ndani ya denda kuna ujumbe mzito? (Don't talk just kiss!)

aah Ruta bwana; kwanini unaharibu raha za watu kwa kumention magonjwa!
Ujumbe wa juu ulikuwa muafaka kwa weeekend, sasa tutaanza kuwazia sijui kuna kavirus kanatembea nitakacatch, mavitu kama TB

Umeniudhi!
Looks like huna company this weekend, ndio maana unatuharibia mood nasi! LOL
Pole Kaunga lakini ndio ukweli wenyewe huo, kwa taarifa yako kuna gono mpaka la kwenye koo na mengine mengi tu.. kazi kwako kuywa mwangalifu vinginevyo ndio hivyo tena..
 
Lakini kama ni kwa mpenzi wangu, najiachia kwa mafeelings yangu right??
By the way, hata kuachia mwili wako kwa kila mtu mimi kwangu naona ni uchafu. Mimi nilivyokuwa najadili niliassume moja kwa moja, denda hutumiwa na wapenzi (mume-mke, girlfriend-boyfriend na bila kuwasahau kina Boflo) na ndio maana nikauliza tuwe tuna viral/bactriometer nyumbani, ili before anything tunacheck kama kuna tumafua au tuvikohoo!





Asante Kaunga kwa kunikumbuka....

Nataka kukupa zawadi ya bra....unavaa namba ngapi??:hug:
 
Asante Kaunga kwa kunikumbuka....

Nataka kukupa zawadi ya bra....unavaa namba ngapi??:hug:
Boflo ni size 48 tu; like this one
download.jpg

LMAO
 
Last edited by a moderator:
ta ruta, mapenzi ni uchafu. unadhani kuingiza dudu yako kwenye .......... ya mtu ndo nini, yote ujinga tu.
mwaya wanaotaka kudendeka ruksa, ili mradi awe wako na si wa kuokota barabarani
 
Usirogwe ukala denda kwa changu au kumny.o.n.ya m.a.t.i.t.i. Denda kihalisia linafaa kwa watu walioaminiana haswaa japo utamaduni wa mtz na mwafrika haujaelekea kuikubali hali hii
 
Tendo hilo ni muhimu sana kwa wapendanao kwa dhati kwani huvuta hisia ya kila mmoja na kuwa katika ulimwengu ambao wanaweza amini hakuna binadamu wengine zaidi yao wawili, hisia hakuna kufa, hisia mungu aliwapendelea kuwa pamoja, hisia wataishi milele pamoja.
 
Siku hizi sidhani kama denda ni mapenzi kiviile... Mi hata mdada akinitembelea oficini, kama hamna mtu, akikaa vibaya lazima akute ndimi zetu zinasalimiana japo kwa sekunde 10. Kama ni magonjwa, mbona tunaambukizana hata kwa hewa? So tusipande daladala kuogopa kupumua hewa toka kwa watu wengine?!
 
Siku hizi sidhani kama denda ni mapenzi kiviile... Mi hata mdada akinitembelea oficini, kama hamna mtu, akikaa vibaya lazima akute ndimi zetu zinasalimiana japo kwa sekunde 10. Kama ni magonjwa, mbona tunaambukizana hata kwa hewa? So tusipande daladala kuogopa kupumua hewa toka kwa watu wengine?!

hmm Tuko tutakukimbia:smile-big:
 
Back
Top Bottom