Ndalichako anawahujumu Waislamu bila Chenga.

DSC06618edited.jpg

One of Mwl J.K memorable speech where he said "Udini na Ukabila ni ufa mkubwa unaobomoa utaifa Tanzania" Well msimlaum sana huyu jamaa cause some ppo jus wanna see this place burn down to ash, cause logically he makes no sence! Poor analysis have no idea how necta operates, and complains more on those religious subjects ignoring others which are the vital ones needed to qualify and survive in ds place we call home!!
"only two things are infinite The universe and human stupidity, and i،m not sure about the former(the universe)"Albert Einstein
"there are only two races on this planet, the intelligent and the stupid" John Fowles
 
Jaribu kidogo kuuliza jinsi gani usahihishaji wa mitihani unavyofanyika kuliko kuleta porojo zisizokuwa na mashiko. Kumbuka pia watahiniwa utumia namba badala ya majina.

Acha ubwege wewe mitihani tunafanya kwa namba mbona majibu yanakuja kwa majina? unadhani majina yanabadilishwa shuleni?
 
Nimewasikiliza sana, lakini naona madai yenyewe ni upuuzi mtupu! Hivi kama Ndalichako angetaka kuwaonea, angewaonea kwenye somo moja tu la Kiislamu? Kwa nini asiwaonee kwenye masomo yote? Halafu alinayeratibu somo la Islamick Knowledge unamfahamu au unalopoka tu? Mimi bahati nzuri namfahamu vizuri ana Masters yake na anazo busara za kutosha tu kuliko upuuzi unaosema wewe mfunga Msuri mahiri! Tafakari, chukua hatua.

havng masters doesnt mean everythng iz perfect......xaxa na mimi namjua ile masters research alinunua frm somewhere....xiyo kila irukayo ni aeroplane kuna vibeku pia bro... 2kubali 2 some1 made a mistake thn wat iz tha way forward to prevent tht mis take istokee tena au vp....? Au nan awajbike..,bas
 
waziri wa elimu shukuru jumanne kawambwa,katibu mkuu wizara ya elimu prof.hamisdihenga!! waislamu 2tulie 2weke mikakati2
 
Narrow minded p'ple ndo huwa wanadiscuss upuuzi km huu... Yaan wanahaki ya kufeli coz hata shule hawasomi, wanajadili upuuzi km huu, nimesoma nao, nawajua vzuri.
 
Poor reasoning Capacity leads to Poor analysis,Unless otherwise mchambuzi amejawa chuki na udini!
 
Itikadi ndio yao inayowazulumu live, angalia nchi za Kiarabu! Walibarikiwa kuona mwanga mapema kuliko mataifa mengine lakini mpaka hivi leo wapo chini, wana migogoro ya wao kwa wo, chuki kuelekea wengine kama wageni. Uvivu, kupiga domo, kujitoa mhanga nk. Kwasababu hizi dini tulizonazo zimeletwa na wageni ambao ni wazungu na Waarabu bado mna nafasi ya kuamua kwenda kulia au kushoto.
 
... Nawapa homework wote mnaomlalamikia Dr. Ndalichako: Prof. Bakari M. Mwinyiwiwa ni nani?
 
  1. Kwenye Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2011, shule nyingi zilizofungiwa ni za Kiislamu. Mfano Shule zote zilizofungiwa Tanga ni za Kiislamu pekee.
  2. Mtihani wa Kidato cha Nne 2011, Shule zilizofungiwa pia za Kiislamu. Wazanzibar zaidi ya 3000 walifungiwa. Jumla ya waliofungiwa ni 4000 Tanzania nzima.
Hii ni hujuma kubwa sana. Ndalichako aseme shule za bara alizozikagua kwa Soft ware yake zipo ngapi? Je St. Mathew ilikaguliwa? Angalieni Biology paper 2 majibu ya watahiniwa hasa michoro.
Hii ilifukiwa.

  1. Sasa umekuja Mtihani wa Kidato cha Sita. Kawafyeka Waislamu na Kuwapa 70% F. Walivyolalamika wamefaulu kwa 70%.
  2. Kaajiri Mchungaji kushughulikia Bible Knowledge. Islamic kampa mtu asiyejua hata kusoma Herufi ya Kiarabu. Huu ni uhuni. Waislamu wapo wenye Masters ya Islamic na Arabic
  3. Waislamu na Watanzania Amkeni.


Mengine tutayataja.

Suala la mitihani ya Islamic Knowledge kuhesabiwa vibaya nililileta hapa kwa mara ya kwanza but nikapigwa madongo ya hali ya juu ikiwemo topic kuondolowa.

Haya uliyoyaongezea yana Ushahidi wa wazi lakini bado watu wanabisha. Wengine wanakuja na utetezi kua Waziri ni muislam.

Mimi kwa mawazo yangu, Mtendaji mkuu na Waziri active hapa ni Philip Mulugo, Kawambwa kawekwa tu kama sanam, ni Kama ilivyo TAMISEMI kwamba Mwanri ndio Mtendaji ingawa ni Naibu.
 
Usijidanganye kwa kusema waislam hawataki kusoma, wacha zana za kipumbavu. Siku zote mtu akidai haki yake huonekana mbaya nyinyi makafiri kwa kuwa bado muna uvivu wa kufikiri munaendeshwa na sera za baba wenu wa Taifa. Yule alikuwa ni mnafiki tu aliyetumwa na makafiri
 
Back
Top Bottom