Ndalichako anawahujumu Waislamu bila Chenga.

kiogopeni

Member
Jun 26, 2012
31
7
  1. Kwenye Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2011, shule nyingi zilizofungiwa ni za Kiislamu. Mfano Shule zote zilizofungiwa Tanga ni za Kiislamu pekee.
  2. Mtihani wa Kidato cha Nne 2011, Shule zilizofungiwa pia za Kiislamu. Wazanzibar zaidi ya 3000 walifungiwa. Jumla ya waliofungiwa ni 4000 Tanzania nzima.
Hii ni hujuma kubwa sana. Ndalichako aseme shule za bara alizozikagua kwa Soft ware yake zipo ngapi? Je St. Mathew ilikaguliwa? Angalieni Biology paper 2 majibu ya watahiniwa hasa michoro.
Hii ilifukiwa.

  1. Sasa umekuja Mtihani wa Kidato cha Sita. Kawafyeka Waislamu na Kuwapa 70% F. Walivyolalamika wamefaulu kwa 70%.
  2. Kaajiri Mchungaji kushughulikia Bible Knowledge. Islamic kampa mtu asiyejua hata kusoma Herufi ya Kiarabu. Huu ni uhuni. Waislamu wapo wenye Masters ya Islamic na Arabic
  3. Waislamu na Watanzania Amkeni.

Mengine tutayataja.
 
shukuru kawambwa ndo anawahujumu, au kwa sababu ni mwenzenu ndo maana hamumtaji?

Acheni udini

boresheni shule zenu...
Fundisheni watoto zenu kushika sana elimu....
 
Kusema kweli waislam wanapenda sana kulalamika wanaonewa. Tatizo wanaendekeza sana udini.
 
Mimi nafikiri waislam tuanpenda sana kutukanwa na wenzetu, ndio maana kama hatupendi matusi tungekuwa walau tunafikiri kidogo kabla ya kuanza kumshushia lawama ndalichako! Hivi tumekwisha pima ubora wa elimu toka shule zetu, mimi niko morogoro hapa kuna shule moja ya kiislam inaitwa At Taun, hii shule ina hostel ya watoto wa kike lakini kinachofanyika hapo nyakati za usiku ni aibu tupu, kuna shule kama Jabar hilla hii nayo ni dhoofu kielimu haya njoo Dar sasa nini kinafanyika pale Tandika ile shule ya kiislam! jamani ifike mahali tukubali kuna tatizo kwenye shule zetu tukisha kubaliana hilo ndio tunaweza kushughulikia shule zetu, tusiamishie matatizo yetu kwa Ndalichako!
 
Nyie wanywa kahawa na kashata badala ya kukaa na kusoma kwa bidii, mnakalia kulalamika. Nyie kaeni mnalalamika mwisho wa siku mnadai Ndalichako anawahujumu. Wakristo twasonga mbele hatuna porojo ni vitendo. Leo nimeangalia taarifa ya habari Kanisa katoliki limefungua hospitali mpya huko umasaini Longido ambayo itatibu Waislam( wala kashata) pamoja na wakristu. kwa maana nyingine Watanzania woote.
sasa nyie msijitahidi kusoma endeleeni piga porojo.
 
  1. Kwenye Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2011, shule nyingi zilizofungiwa ni za Kiislamu. Mfano Shule zote zilizofungiwa Tanga ni za Kiislamu pekee.
  2. Mtihani wa Kidato cha Nne 2011, Shule zilizofungiwa pia za Kiislamu. Wazanzibar zaidi ya 3000 walifungiwa. Jumla ya waliofungiwa ni 4000 Tanzania nzima.
Hii ni hujuma kubwa sana. Ndalichako aseme shule za bara alizozikagua kwa Soft ware yake zipo ngapi? Je St. Mathew ilikaguliwa? Angalieni Biology paper 2 majibu ya watahiniwa hasa michoro.
Hii ilifukiwa.

  1. Sasa umekuja Mtihani wa Kidato cha Sita. Kawafyeka Waislamu na Kuwapa 70% F. Walivyolalamika wamefaulu kwa 70%.
  2. Kaajiri Mchungaji kushughulikia Bible Knowledge. Islamic kampa mtu asiyejua hata kusoma Herufi ya Kiarabu. Huu ni uhuni. Waislamu wapo wenye Masters ya Islamic na Arabic
  3. Waislamu na Watanzania Amkeni.

Mengine tutayataja.
Utabadilisha ID yako sana lakini ukweli utabaki pale pale tu,Mtaishia kulalama tu somesheni watoto wenu kwa Bidii bila hivyo mtabaki kulalamikia KANISA utafikiri ndilo linalosahihisha mitihani Mtamlalamikia Ndalichako Bure.
someni acheni upuuzi.
 
  1. Kwenye Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2011, shule nyingi zilizofungiwa ni za Kiislamu. Mfano Shule zote zilizofungiwa Tanga ni za Kiislamu pekee.
  2. Mtihani wa Kidato cha Nne 2011, Shule zilizofungiwa pia za Kiislamu. Wazanzibar zaidi ya 3000 walifungiwa. Jumla ya waliofungiwa ni 4000 Tanzania nzima.
Hii ni hujuma kubwa sana. Ndalichako aseme shule za bara alizozikagua kwa Soft ware yake zipo ngapi? Je St. Mathew ilikaguliwa? Angalieni Biology paper 2 majibu ya watahiniwa hasa michoro.
Hii ilifukiwa.

  1. Sasa umekuja Mtihani wa Kidato cha Sita. Kawafyeka Waislamu na Kuwapa 70% F. Walivyolalamika wamefaulu kwa 70%.
  2. Kaajiri Mchungaji kushughulikia Bible Knowledge. Islamic kampa mtu asiyejua hata kusoma Herufi ya Kiarabu. Huu ni uhuni. Waislamu wapo wenye Masters ya Islamic na Arabic
  3. Waislamu na Watanzania Amkeni.

Mengine tutayataja.

Kweli wewe ni kiogopeni,Udini udini huu mpaka lini?Acha kupandikiza chuki za ajabu hapa
 
This is too much. Ndalichako awaonee waislamu ili iweje? Tujenge utamaduni wa kuangalia mambo kama watanzania badala ya upuuuzi mdogo uitwao dini. Too sickening so to speak. Kila siku dini kila waislamu si waende zao huko kwao Saudia waone cha mtema kuni.
 
Hao njama zao tumeshazistukia na hayawi hayawi kuna siku yatakuwa tu. Wamebanwa kwenye idadi za shule sasa wamevumbuwa njia nyingine ya uendelezo wa 83/17.
 
Nyie wanywa kahawa na kashata badala ya kukaa na kusoma kwa bidii, mnakalia kulalamika. Nyie kaeni mnalalamika mwisho wa siku mnadai Ndalichako anawahujumu. Wakristo twasonga mbele hatuna porojo ni vitendo. Leo nimeangalia taarifa ya habari Kanisa katoliki limefungua hospitali mpya huko umasaini Longido ambayo itatibu Waislam( wala kashata) pamoja na wakristu. kwa maana nyingine Watanzania woote.
sasa nyie msijitahidi kusoma endeleeni piga porojo.

shika adabu yako wewe...nani mla kashata????
 
Jaribu kidogo kuuliza jinsi gani usahihishaji wa mitihani unavyofanyika kuliko kuleta porojo zisizokuwa na mashiko. Kumbuka pia watahiniwa utumia namba badala ya majina.
 
  1. Kwenye Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2011, shule nyingi zilizofungiwa ni za Kiislamu. Mfano Shule zote zilizofungiwa Tanga ni za Kiislamu pekee.
  2. Mtihani wa Kidato cha Nne 2011, Shule zilizofungiwa pia za Kiislamu. Wazanzibar zaidi ya 3000 walifungiwa. Jumla ya waliofungiwa ni 4000 Tanzania nzima.
Hii ni hujuma kubwa sana. Ndalichako aseme shule za bara alizozikagua kwa Soft ware yake zipo ngapi? Je St. Mathew ilikaguliwa? Angalieni Biology paper 2 majibu ya watahiniwa hasa michoro.
Hii ilifukiwa.

  1. Sasa umekuja Mtihani wa Kidato cha Sita. Kawafyeka Waislamu na Kuwapa 70% F. Walivyolalamika wamefaulu kwa 70%.
  2. Kaajiri Mchungaji kushughulikia Bible Knowledge. Islamic kampa mtu asiyejua hata kusoma Herufi ya Kiarabu. Huu ni uhuni. Waislamu wapo wenye Masters ya Islamic na Arabic
  3. Waislamu na Watanzania Amkeni.

Mengine tutayataja.

Boresheni shule zenu! Msitegemee kuwa mtakwenda mbali kwa kulalama. Acha madrasati mtoto mpeleke chekechea, mtoto awe stimulated to elimu dunia mapema na sio elimu ahera mapema! hakuna ajuae kuwa elimu ahera ipo kule mnapokutafuta, ni speculations with no scientific proof. Boresha shule mtaona mabadiliko na mtafurahi sana
 
asante king,,,indirect unakiri kuwa necta hapako sawa,kisa MFUMO,,,,tutasikia mengi kwenye bajeti ya wizara ya ELIMU,,,,LETS WAIT

Tuongelee mfumo na si UISLAMU na UKRISTO,na kama ni hayo ya udini great thinkers hatuna muda nayo labda uyapeleke kwenye jukwaa la dini na imani,tuzungumzie kwa jinsi gani NECTA ibadilishe mfumo wake! roger that
 
Nimewasikiliza sana, lakini naona madai yenyewe ni upuuzi mtupu! Hivi kama Ndalichako angetaka kuwaonea, angewaonea kwenye somo moja tu la Kiislamu? Kwa nini asiwaonee kwenye masomo yote? Halafu alinayeratibu somo la Islamick Knowledge unamfahamu au unalopoka tu? Mimi bahati nzuri namfahamu vizuri ana Masters yake na anazo busara za kutosha tu kuliko upuuzi unaosema wewe mfunga Msuri mahiri! Tafakari, chukua hatua.
 
Inawezekana kuna mkakati ulipangwa kuziinua shule za kiislam kwa kuiba mitihani bahati nzuri zikagundulika zikafutiwa.
ulichotakiwa kufanya ni kutoa udhibitisho kuwa hazikufanya udanganyifu.
 
Back
Top Bottom