Nchimbi haiwezi wizara ya mambo ya ndani

LENGIO

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
1,096
508
Tangu nchimbi amechaguliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani kumekuwa na wimbi kubwa la wahamiaji haramu na kuwahalalishia wakenya ambao sio raia kupata uraia.mfano antony ngoo na mwanae davis ngoo mwenye paspoti mbili,ya kenya na tanzania,afisa uhamiaji mwanguku alieyendesha upelelezi juu ya wakenya hao na kupendekeza waondolewe nchini kwani sio raia matokeo yake yeye ndio kahamishwa kwa shinikizo la mtoto wa mzindakaya.ushaidi upo kila kitu alikibidhiwa anadai wakenya hawa wanapigwa vita kwa sababu za kibiashara,kuna tetesi zimezaga mirerani amehongwa na wakenya hao na kupewa ahadi za kupewa shea kwenye mgodi wa tanzanite.
 
Ukweli ile ya Vijana na Michezo angalau. Hii inahitaji mtu ambaye hata jicho lake tu linatosha kutoa onyo kali kwa wavunja sheria kama vile ile sura aliyokuwa nayo Marehemu Sokoine! .
 
hata ye mwenyewe anajua kiatu alichopewa ni oversize lakini atafanyaje sasa wkt ndo sare ya kazi.
wewe unashangaa nini? nenda ma ofisini mwa ubalozi wa Tanzania nchi za nje haswaa Urrusi, Ufaransa, Italy na china. maana kuna watu hawana hata sifa za kuitwa mabalozi, lakini wamejipatia ulaji huko.
 
Hata mtangulizi wake Nahodha naye alikuwa kilaza. Ha ha ha.
 
Inabidi wamkodi Mrema kwa muda, vinginevyo sioni anayeiweza hiyo wizara kati ya magamba wote.
 
Tangu nchimbi amechaguliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani kumekuwa na wimbi kubwa la wahamiaji haramu na kuwahalalishia wakenya ambao sio raia kupata uraia.mfano antony ngoo na mwanae davis ngoo mwenye paspoti mbili,ya kenya na tanzania,afisa uhamiaji mwanguku alieyendesha upelelezi juu ya wakenya hao na kupendekeza waondolewe nchini kwani sio raia matokeo yake yeye ndio kahamishwa kwa shinikizo la mtoto wa mzindakaya.ushaidi upo kila kitu alikibidhiwa anadai wakenya hawa wanapigwa vita kwa sababu za kibiashara,kuna tetesi zimezaga mirerani amehongwa na wakenya hao na kupewa ahadi za kupewa shea kwenye mgodi wa tanzanite.

kwahilo wala sibishi nakuunga mkono, ushahidi ni pale alipodiriki kumfukuza nape uvccm , nakupendekeza afukuzwe ccm na ujumbe wa nec.lakini mwenyekiti wake akampuuza na kusema si vyema kumfukuza nape ccm.ndo JK akampa udc kule masasi, hoja je kama kweli nape alikuwa na hatia kiasi hicho kwanini ampe udc?na pia kama angekuwa mbovu kiasi hicho kwann ampe kamati ya itikadi na uenezi?hizo zilikuwa jazba na kisasi kwa kuwa nape ni mropokaji alifichua siri ambayo hata mzee wa visent aliificha.mpak leo taarifa hiyo haijatoka na uvccm wako kimya kama mbwa koko.tatizo hapa ni JK mwenyewe kupanga safu za watu wahuni na wakorofi wasiokuwa na tijaa .Kimsingi hata haya mapambano yaliyotokea msanvu ni yeye kaingiza.Na sababu za mantiki kuzuia maandamano hayo ni uonevu tu.

Alipokuwa wizara ya habari michezo na utamaduni alianzisha mchakato wa vazi la taifa ambao haujulikani umeishia wapi hilo ndio tatizo la udokta wa kujipachika
 
God forbid katika watu ambao huwa nakosa imani nao kazini huyu ni mmoja wao!
yaani amekaa kimasihara masihara sasa alimsukumia Nape azabu zote izo bosi wake akampa UDC huoni kuwa walitaka mpotezea Nape ili asivuluge lile dili la jengo la umoja wa Vijana!
 
hata ye mwenyewe anajua kiatu alichopewa ni oversize lakini atafanyaje sasa wkt ndo sare ya kazi.

Ni wizara hiyo hiyo ya mambo ya ndani ikiongozwa na Nchimbi ambayo ndio polisi wake wanawaua raia wasiokuwa na hatia kwa kuwapiga risasi za moto!! Uwezo wa Nchimbi kuongooza wizara ni mdogo kwani hata elimu yake ni ya kuunga unga tu!!
 
Back
Top Bottom