Nchi nyingi zawaondoa watu wake Ukraine, hali ni tete

Kuna mabomu yalipigwa Ukraine, kwenye video tu sisi huku Tz tuanza kuogopa, Ukraine milele haiwezi rudi ilivyo..!! Russia kaamua sasa kuonyesha yeye ni mkubwa sana dunia hii.
Hakuna mkubwa duniani wewe ni suala la.muda tu .Na haya yatapita.Vitabya pili ya dunia hakuna mtu alijua dunia itasimama tena but ikawa ndio maendeleo ya kufa mtu .After this new technology zitakuja .Mungu akiruhusu kitu kitokee kuna sabbu na ukiwa hai after 5 years dunia itabadilika.Mafuta na gas will no longer become an issue kwa nchi
 
Ukraine leo amenyukwa balaa kila mahali Russia anapiga

Tayari nchi nyingi zimeanza kuwaondoa watu wake na mabalozi washaanza kufunga virago

Wingu la vita lazidi kuwa nyeusi nchini Ukraine mara baada ya mabalozi na wafanyakazi wao kuondoka nchini Ukraine huku balozi mbalimbali zikifungwa mjini kiev kutokana na hatari ya mashambulizi ya vita kutoka upande wa Urusi.

Mabalozi hao wameondoka mara baada ya kufanyika kwa mazungumzo na Urusi bila kujulikana mazungumzo hayo yalihusiana na nini hasa kwa vita vinavyoendelea nchini Ukraine.

Nchi kama China, Kazakhstan, Kyrgyzstan, Uzbekistan, Tajikistan, Serbia na Belarus ikiwamo Egypt imewataka Raia wake kuondoka nchini Ukraine haraka iwezekanavyo.

Kuna hali ya hatari kuongezeka kwa mashambulizi nchini Ukraine mara baada ya Urusi kurusha Satellite ya kijeshi itakayotumika kufuatilia hali nzima ya vita nchini Ukraine.

Nchi inapigwa kila mahali, kina clip moja ikionyesha wanajeshi wa Ukraine wakikimbia huku na kule kama mwendawazimu hali sio nzuri.

Sasa bado combination mpya ya Belarus, Iran na Russia haijatua Ukraine hapo ndo Ukraine inaenda kufutwa kabisa.

Kwa hali ya sasa Ukraine haitokaa kuja kurudi kuwa nchi moja kwa huu moto nchi inayoitwa Ukraine ndo basi tena.

View attachment 2389476
.
Ziangalie vizuri nchi ulizozitaja.
 
Hakuna mkubwa duniani wewe ni suala la.muda tu .Na haya yatapita.Vitabya pili ya dunia hakuna mtu alijua dunia itasimama tena but ikawa ndio maendeleo ya kufa mtu .After this new technology zitakuja .Mungu akiruhusu kitu kitokee kuna sabbu na ukiwa hai after 5 years dunia itabadilika.Mafuta na gas will no longer become an issue kwa nchi

Unapenda vita...
 
Bado unaota tu?
 
Back
Top Bottom