Beautiful Lady
Senior Member
- Jun 8, 2011
- 135
- 43
Muafaka haukufuata taratibu na sheria, na kuna harufu ya rushwa ndani yake.Kufuata taratibu na kupinga rushwa ni kwa ajili ya masilahi ya wananchi na si chama. Kwa hili cdm wapo sahihi kabisa.
Mtazamo WANGU binafsi Arusha madiwani ambao kwakweli NI wawakilishi WA wananchi na bahati mzuri hakuna aliyepinga kuchaguliwa Kwai udiwani, wamekaa na kuamua KUMALIZA tofauti zao, Leo viongozi wao wanapokataa muafaka ule maana yake UZALENDO KWA CHAMA NI MKUBWA KULIKO KWA WANANCHI WA ARUSHA?
Kwa hili la ARUSHA NILIDHANI INGEKUWA WANANCHI KWANZA, CHAMA BAADAE

Unaanzisha topic halafu hujibu unakimbia mitini huna lolote tu mnafiki tu kama wanafiki mliokuwa wote huko ccm.
Kwanza waambie Wabunge wenu wa Magamba kuwa Nchi kwanza chama baadaye sio kuzomea hoja za maendeleo na kushangilia hoja za kitoto na pia isalimie Bi Kiroboto mwambie Bunge limemshinda
Mtazamo WANGU binafsi Arusha madiwani ambao kwakweli NI wawakilishi WA wananchi na bahati mzuri hakuna aliyepinga kuchaguliwa Kwai udiwani, wamekaa na kuamua KUMALIZA tofauti zao, Leo viongozi wao wanapokataa muafaka ule maana yake UZALENDO KWA CHAMA NI MKUBWA KULIKO KWA WANANCHI WA ARUSHA?
Kwa hili la ARUSHA NILIDHANI INGEKUWA WANANCHI KWANZA, CHAMA BAADAE
Babuwaloliondo, changia mada. Nape alishajibu Hilo siku nyingi HATA Kama sikubaliani naye sana KWENYE majibu yake.
Hapa mada NI UZALENDO wa cdm uko wapi kwa sakata la Arusha? Hivi kweli kwasababu Tunataka Kesi ZA viongozi wetu zifutwe, bass tuko tayari mgogoro usiishe, kisa kesi ziko mahakamani ZA Freeman na Slaa?
KWAHILI CHAMA CHANGU MMENICHEFUA AAAAGHAAAAA!!!!!!!!

Acha unyalupalo wewe, tunajua wewe mukama unajitahidi kumnasua nape... hillooooo! tumewashtukia
Nape achana na MAGWANDA, kwa hili la Arusha wamejidhalilisha wananchi hawatuelewi kabisa, hivi hiki chama wao noi wapenda vurugu, mauaji, fujo nk ndio sera zetu jamani ? Mie nilidhani Slaa baada ya kupora yule mke wa mtu utatulia , kumbe ndio umekuwa firauni kuzidi hata watu wa sodoma na gomora
wewe kijana kumbe mjinga. diwani kachaguliwa na wananchi wa arusha. unataka atumie akili ya kuambiwa na chadema makao makuu.Chadema ni chama kinachojijenga katika misingi ya maadili,haki na wajibu.Chadema ni tofauti sana na CCM ambayo imekuwa chanzo cha ukosefu wa nidhamu,maadili na hivyo kupoteza uwezo na hata moral Authority ya kuiwajibisha serikali yao pale inapokosa nidhamu kwa wananchi wake.Sidhani kama ni jambo la kheri kwa chama chochote makini cha siasa kulea utovu wa nidhamu,matokeo yake tutakuwa kama CCM ambayo katibu mwenezi wake wa sasa ana historia ya kukosa nidhamu hadi kutaka kuanzisha chama kingine (CCJ) na kufanya jitihada za kugombea ubunge kupitia chama kingine!
Suala la Arusha ni lazima lihusishe makao makuu ya chama cha Chadema,hili ni suala la kitaifa.Ndiyo maana haikuwa makosa kwa katibu mkuu wa chama enzi zile Yusuf Makamba kuliongelea,Ndiyo maana haikulalamikiwa kwamba mbona waziri mkuu Mizengo Pinda kaliongelea(Pamoja na kutuhumiwa kufanya jitihada za aibu za kulidanganya bunge na taifa). Tatizo la Chadema si umeya,haki,wajibu ambao unatokana na kufuata kanuni,taratibu na sheria ndiyo maslahi yanayotakiwa.Muafaka/suluhisho lolote litokanalo na ubakaji wa Demokrasia bila kuzingatia misingi ya haki,kujitoa sadaka ukiachwa utakuja kushuhudia makubaliano ya kuhujumu haki,chama na itikadi! sidhani kama chadema inataka kufika huko.
Siku zote mimi nasema,yeyote anayevunja kanuni,ni lazima adhibiwe kwa mujibu wa kanuni bila kujali uwezo,cheo,rangi,kabila,dini,itikadi na hata Jinsia! Hii ndiyo siasa ya demokrasia ya vyama vingi iliyotokana na watu kwa ajili ya watu!
Ww lazima nikuoe hata kama ni ME
Mabata hutambulika kwa kuhara kwao!Bata anahara maisha yake yote!Sisi chama kwanza Nchi baadae mkuu I am vere sorry
wewe kijana kumbe mjinga. diwani kachaguliwa na wananchi wa arusha. unataka atumie akili ya kuambiwa na chadema makao makuu.
tumechagua madiwani wa nini. tuchague chama basi.
ndio maana pamoja na chadema kukutenda ukabaki kujiumauma tu. mwanasiasa asiye na msimamo wake ni zuzu wa siasa.
kanuni gani hapo imevunjwa. pelekeni roboti wakawawakilishe.