Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 88,115
- 105,467
Watanzania wameamka sasa siyo kufanywa wajinga na watu wachache wa CCMNchi ikipasuka unahisi itakuwa sababu ya Lissu au wananchi?
Ikiwa anachoongea Lissu ni cha uongo kwann unaogopa?
Nchi ikipasuka ni sababu wananchi wameujua ukweli baada ya kuambiwa na Lissu