Nchi inakaribia kupasuka

Kauli za Tundu Antipas Lissu zimeamsha watu wengi sana kutoka usingizini.
Ilikuwa ni kama utamaduni kwenda kusheherekea sikukuu za muungano ambao wengi hawakuwahi kuelewa una faida gani.

Mpaka sasa hili fukuto linaloendelea ni kuonyesha Hakuna mtu hata mmoja anayeweza kujibu alichohoji Tundulissu

Hili naifananisha na stori ya goliathi na Daudi, baada ya kujitamba kwa miaka mingi kuhusu muungano huu. Kaja Lissu kuonyesha ni jinsi gani upande ule hakuna mtu mwenye kuelewa hicho wanachokiita muungano na kawavua nguo haswa.

Mpaka sasa ili kufuta hii aibu ni serikali kufanyia mabadiliko ya kero za muungano, sababu kadri unavyoendelea kumsema lissu kunaendelea kuwavua nguo upande wa pili ukionekana kwamba mtu mmoja ana akili kuliko watu elf walio upande wa pili.

Huitaji kwenda darasani kuelewa mheshimiwa Lissu alivyoviongea ni vitu halisi na vipo na hakuna anayeweza kuyajibu zaidi ya kutumia UBABE ambao mara nyingi ni njia ya WAPUMBAVU NA WAJINGA KUJILINDA
 
Mbona kinana ameshamjibu? Kwa nini jpm hakummalizia kabisa ili tuondokane na hili balaa. Jpm alifanya kosa kubwa sana kumkosa kosa
 
Ninaishauri serikali imdhibiti sana Lisu kwa kauli zake anazotoa. Surely ule ni uhaini na anajaribu kusambaza chuki ya wazi wazi wanachi wamachukui Samia kama yeye na siyo rais.

Chukueni hatua mapema kuzuia mikutano mana haina afya kwa ustawi wa sisi tunaopenda kufanya kazi.

Orelse we gona vuna mabua

Jpm aliweza kuidhibiti mikutano mpaka akina mbowe na lema wakaw wakimbizi. Sasa we cheka nao tu unaona

Chadema hawanaga shukrani kwa lolote.

Jpm alizuia mikutano yote ndo mana anaheshimiwa mbinguni na duniani mana hakukuwa na yeyeto mwenye ubavu wa kimkosoa.

Hata lisu anamyambua mana alikoswa koswa
Comrade!!

Tulipewa nafasi ya kujiandaa kuandaa Chaka mbadala ambacho kingezaliwa pamoja na katiba mpya ili tukipe madaraka kabla mambo hayajawa magumu!!

Tukashupaza shingo zetu Kwa kujifanya tupo confort zone!!

Sasa ni rasmi Dola imeamua ku push ajenda ya katiba mpya nje ya mfumo wetu baada ya sisi kuipuuza pale ilipotupa maagizo kuwa katiba iandikwe kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa!!

Sasa ni rasmi katiba itapatikana kwa maumivu makali sana kwetu Kwa kupoteza Dola na Mali ambazo tuliwekeza Kwa mgongo was chama!!!

Tumewakisea sana watanzania na sasa tukubali yaishe na ndio maana Lisu ana push agenda Kwa kujiamini coz anajua fika nani anamlinda hapo alipo !!!

Subiri uone!
 
Mi najua anayemlinda ni samia mwenyewe
 
Ninaishauri serikali imdhibiti sana Lisu kwa kauli zake anazotoa. Surely ule ni uhaini na anajaribu kusambaza chuki ya wazi wazi wanachi wamachukui Samia kama yeye na siyo rais.

Chukueni hatua mapema kuzuia mikutano mana haina afya kwa ustawi wa sisi tunaopenda kufanya kazi.

Orelse we gona vuna mabua

Jpm aliweza kuidhibiti mikutano mpaka akina mbowe na lema wakaw wakimbizi. Sasa we cheka nao tu unaona

Chadema hawanaga shukrani kwa lolote.

Jpm alizuia mikutano yote ndo mana anaheshimiwa mbinguni na duniani mana hakukuwa na yeyeto mwenye ubavu wa kimkosoa.

Hata lisu anamyambua mana alikoswa koswa
Rwanda ni nchi ya Kidikteta, watu wanaogopa kusema ukweli,
Kipi ambacho TL ameongea ambacho sio cha kweli? Hoja hujibiwa kwa hoja na si vinginevyo.
 
Ninaishauri serikali imdhibiti sana Lisu kwa kauli zake anazotoa. Surely ule ni uhaini na anajaribu kusambaza chuki ya wazi wazi wanachi wamachukui Samia kama yeye na siyo rais.

Chukueni hatua mapema kuzuia mikutano mana haina afya kwa ustawi wa sisi tunaopenda kufanya kazi.

Orelse we gona vuna mabua

Jpm aliweza kuidhibiti mikutano mpaka akina mbowe na lema wakaw wakimbizi. Sasa we cheka nao tu unaona

Chadema hawanaga shukrani kwa lolote.

Jpm alizuia mikutano yote ndo mana anaheshimiwa mbinguni na duniani mana hakukuwa na yeyeto mwenye ubavu wa kimkosoa.

Hata lisu anamyambua mana alikoswa koswa
Relax ndugu mwanainchi ๐Ÿ’

kibaraka hawez fanya chochote,popote Tz ..

each and everything within the country is under full control in authority. there is no way mercenaries and puppets can interfear peace and stability among very United Tanzanians. No way at all ๐Ÿ’

ni kumpuuza tu huyo muungwana ๐Ÿ’
 
Mkuu,

Kuna jamaa alinichekesha sana. Aliulizwa embu nitajie faida mbili tu za Muungano, akasema moja ni Amani na utulivu.
Nilifikiri nimeona yote duniani kumbe bado.
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Back
Top Bottom