Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

Kwani tilikua tunateua chief? Watanzania wavivu, matapeli na wanaopenda dezo na kubebwa kweli hawana furaha-we voted him my vote was not stolen I voted fot a honest and hard working man- magufuli
 
Habari wadau.

Naona watu wote wanaonizunguka hawana furaha kabisa ni kama watu waliokata tamaa.

Nikiangalia status za watu social network, ofisini, kwenye dala dala.. na hata mtaani kwangu watu wapo kimyaaa wana huzuni tele.

Hii ni changamoto kubwa sana kwa magufuli kufanya kazi kwa bidii kurudisha furaha kwa mamilion ya watanzania.

Kiukweli leo ni kama kuna msiba wa taifa.

Huo ni mtizamo wako. but ukweli ni kwamba Watanzania wana furaha sana mioyo mwao, kuliko unavofikiria wewe.
coz wamepata kiongozi imara na mwenye maono atakaeweza kuwavusha hadi wafike ng'ambo ya mto. so kama ni msiba uko kwako tuu poleee kwa hilo
 
Kweli kama vile watanzania wamepatwa na msiba natamani kwenda kuishi nje na tanzania nikikumbuka ccm ilipotufikisha na tena ndio watawala nahisi kuugua ilamungu anisaidie na awasaidie watanzania wote waliofikwa na hali hii ya kutokuwa na amani awe faraja kwa watu wote amen.

Wakati ccn inakufikisha hapo ulipo Lowasa kingunge na Sumai walikuwa chama gani
 
Habari wadau.

Naona watu wote wanaonizunguka hawana furaha kabisa ni kama watu waliokata tamaa.

Nikiangalia status za watu social network, ofisini, kwenye dala dala.. na


hata mtaani kwangu watu wapo kimyaaa wana huzuni tele.

Hii ni changamoto kubwa sana kwa magufuli kufanya kazi kwa bidii kurudisha furaha kwa mamilion ya watanzania.

Kiukweli leo ni kama kuna msiba wa taifa.


Atafanya kweli na mtachangamka. Vuteni subirini tu kazi imeanza.
 
... nenda kapige push up Lumumba upate pesa.[/QUOTE said:
Hahahahahaha!
Wewe kaka wewe, pole pole jamani. Ni msiba wetu, kwani tumefiwa sote. Wengine sio tumefiwa na mama tu bali hata na baba huku Visiwani wamemnyonga!
 
Hahahahahaha!
Wewe kaka wewe, pole pole jamani. Ni msiba wetu, kwani tumefiwa sote. Wengine sio tumefiwa na mama tu bali hata na baba huku Visiwani wamemnyonga!
Hata humu Jamii forum kumenuna sana kunabore mno
 
labda huko kwenu dar na Arusha...manispaa zingine na vijijini watu ni shangwe tu...wafanyakazi maofisini (serikalini) tunajua kwa nini hawana furaha...na pia si wote.
 
Kura milioni 6 sio chache aisee
Nmekuelewa brother. Milioni 6 wamenuna, milioni 8 wamefurahi na milioni 36Apprx, haieleweki. Japo kwenda hiyo 36M approx kuna wanachuo na watu wengine ambao hawakupiga kura. Wengi wao watakua wamenuna kwasababu hawajapiga kura pia.
SO KIUKWELI HAKUNA FURAHA
Tafakari mabox yaliyokamatwa, tafakari mabox ambayo yalipitishwa wakati tumeenda kusubiri matokeo, tafakari manipulation za tume. But if you are blinded, you will never see the truth.
 
Back
Top Bottom