Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

Tusubiri ahadi ya mahakama ya mafisadi kwani ni miongoni mwa ahadi, ila Nape kasema mdomo wa John haukusema!!!
 
Tusubiri ahadi ya mahakama ya mafisadi kwani ni miongoni mwa ahadi, ila Nape kasema mdomo wa John haukusema!!!


Nape kasema leo BBC... hakuna mahakama ya mafisadi... nimeshtuka sana...!!!

CCM ni ilee ileee...!! Yaani nchi inalia...!!
 
Hamna haja ya kukata tamaa the future is bright kukata tamaa ni dhambi
 
Ndo maana K. Mayo wako ya KIJANI wewe! Nyambaf kubwa!

Acheni kuleta propaganda zenu hapa za kijinga, wengi waliomchagua Dk Magufuli wanafuraha, ninyi watu wa Dar, Arusha, Mbeya na Moshi mjini ndio hamna furaha. Mikoa mingine mingi iliyobakia watu wanafuraha sana nikiwemo mimi na wengine wengi. Dar sio Tanzania nzima, Dar sehemu tu ya Tanzania. Kama hamna furaha, basi kunyweni sumu ama chukueni kamba mkajinyonge. Wapumbavu wakubwa ninyi. Tumemchagua Magufuli na sasa ni kazi tu.
 
Tunaojitambua tuna amani na furaha tele. Msiojitambua kazi kwenu. Kufanya kazi kwa bidii ni kwa faida yako mwenyewe. Ukizembea itakula kwako

Heri yako unaejitambua sasa. Saa na wakati waja. Mi ni mmoja kati ya mamilion ya watanzania tusiojitambua
 
hata mbeya nimeona kimya tu....ingawa kuna kikundi kidogo ambacho watu walikuwa kama wanakishangaa tu kwa kufurahia matokeo ya Magufuli kuwa Rais, nimeona kidogo pale Lumumba na Chato kwa Mheshimiwa. Ila pande zingine nyingi watu wapo tu hawana jipya, inaonekana wamekata tamaa na hawaoni kama kuna matumaini...nimeamini EL alipendwa sana, yaani hapa JPM ajitahidi tu kuwaridhisha watu....yaani hakuna shangwe nchi nzima...why??? wajitafakari.
Si kweli Songea kulikua na shangwe kama nini. Hatukulala kwa mahaba ya Magufuli
 
Binafsi nimesoma kwa shida sana, yaani nikikumbuka safari yangu ya maisha ya kielimu naumiaga sana, roho inaniumaga sana, leo amejitokeza mtu anaetaka kusomesha watu bure wachache wanafanyia fitina bila kujali ni vijana wangapi wanahangaika na maisha kwakukosa pesa ya kula tu sembuse shule!! Watanzania sisi ni maskini sana, Asilimia kubwa ni watu wa tabaka la chini kabisa, tumeumizwa sana!! Ila ipo siku tutakaambiwa hii ni Nyekundu tutasema hapana hii ni Njano!!
Watanzania ni wavivu sema. Asifanya kazi na asile.
 
Watu wana majonzi makubwa. Hakuna tena furaha. SAUTI YA WENGI SAUTI YA MUNGU. Ipo siku Mungu atafanya jambo kubwa sana hakika naamini hivyo.
 
Watu wana majonzi makubwa. Hakuna tena furaha. SAUTI YA WENGI SAUTI YA MUNGU. Ipo siku Mungu atafanya jambo kubwa sana hakika naamini hivyo.

Msikate tamaa mwaka 2025 pia kuna uchaguzi. Hapa kazi tu RAIS NI MAGUFULI
 
We mwenyewe marehem mtarajiwa.. Yawezekana ata usiugue ukajikwaa tu..... Tetea ukipendacho kwa style yoyote ila usikosoe uumbaji.... Asilimia kubwa ya wa Tz tuna uzuni kweli tena sio kidogo

Kila mmoja wetu ni marehemu mtarajiwa, na wala mimi sijathubutu kumtolea kejeli yo yote kwa sababu ya ugonjwa wake. Bado suali langu hujalijibu, kwani ikulu kazi yake ni very demanding kwa nini mtu analazimisha?

By the way mimi nimepiga kote kote, kwa yule aliyenifaa ndiye nilimpigia.
 
Ukweli ni kwamba magufuli ni rais ktk siasa.Na lowasa ni rais ktk nyoyo za watanzania

Unakosea, Lowassa inawezekana yuko kwenye nyoyo za wanaukawa kama magufuli alivyo kwenye nyoyo za wanaccm. tuwe wanyofu kama kweli tuna nia ya kusema ukweli.
 
Watu wana majonzi makubwa. Hakuna tena furaha. SAUTI YA WENGI SAUTI YA MUNGU. Ipo siku Mungu atafanya jambo kubwa sana hakika naamini hivyo.

Majonzi yataisha mtakapoona mabadiliko ya kweli ya Dkt. Magufuli. Sauti ya wengi imejidhihirisha kwamba ni ile ya walioamua kumpigia kura za ndio Magufuli. Haitaingia akili kutaka kuwaaminisha watu kwamba sauti ya wengi ni ile yenye mapenzi na lowasa na ukawa ya mbowe na mbatia. hata sisi ambao hatuko tz tuliona nyomi kwa magufuli na lowasa pia so maamuzi ya waliopiga kura yamedhihirishwa na hesabu za kura.
 
Back
Top Bottom