Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,192
- 3,353
wadau wote wapenz wa mambo ya hacking naomben mnijuze nchi anbayo ipo fiti hacking tactics, je umegunduaje?
Poland na Hungary,Urusi na Pakistan hawa jamaa ni Noma. Mfano kuna Mpoland mmoja anaitwa Dejan.Ilibidi Nokia wamtafute wakubaliane wampe pesa ili aachane na kutengeneza software za ku unlock Nokia phones.Kabla ya Ugunduzi wa Dejan miaka ya 90,Ili uweze kuflash simu za Nokia system yake ilikuwa kama dola 15,000,Dejan aligundua ya 1500 tu ambayo baada ya kuziuza sana alizishusha mpaka zikawa kwa dola 150.
Mautundu yake yaliweza fanya ku unlock simu iwe rahisi mpaka leo.Wa Poland ndio waliochangia sana maswala ya phone unlocking duniani.
Pia jamaa ni wazuri kwenye ku hack ATMs za Benki na ata system za madishi ya TV.
Ikumbukwe kuwa nchi zilizokuwa za Ujamaa kama vile Poland,Hungary nk Elimu zilikuwa zinatolewa Bure kitu ambacho kimewafanya kutoa wataalam wengi wa IT na fani nyinginezo. Na pia upatikanaji wa OS na Programing Language kwenye Lugha zao pia zimechangia sana kwa wao kuwa experts kwenye fani.
Usisahau pia Wachina kwa sasa wao kutokana na Contract Manufacturing na Makampuni mengi ku outsource Technology na tafiti za Viwanda zimewafanya wawe na many Information,technologies in various things na kuwafanya kuwa wakali mno kwa siku za hivi karibuni. Mfano Mchina mpaka sasa ndie aliye weza kuhack DSTV na kuuza cracked system yake mpaka leo,wakati nchi nyingi za Ulaya zimechemka mpaka leo.
DSTV scrambling technology (Irdeto) ni system ambayo ipo strong kuwa hacked kuliko system yeyote ya pay TV iliyopo Duniani leo.
sina reference na nagoma kuamini kama kuna nchi ya kuizidi United States...
Wale jamaa waache tu! India na China wanakuja but still katika hacking US iache iitwe U.S unless you change my mind with vivid reference achana na vi nokia sijua Dejan ndo nini hivi hata kwenye PC vinawezekana jamaa wanatrce kwa sytem za mainframe n.k wewe...oooh! Acha iitwe Marekani tu...!
sina reference na nagoma kuamini kama kuna nchi ya kuizidi United States...
Wale jamaa waache tu! India na China wanakuja but still katika hacking US iache iitwe U.S unless you change my mind with vivid reference achana na vi nokia sijua Dejan ndo nini hivi hata kwenye PC vinawezekana jamaa wanatrce kwa sytem za mainframe n.k wewe...oooh! Acha iitwe Marekani tu...!
Nakubaliana na wewe kistaste yani nchi kama nchi marekani wapo juu sababu wanakua supported na serikali hasa maeneo ya majeshi hackers wao wapo vizuri ila individual marekani wapo nyuma kidogo.