Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,775
- 3,610
kwa mswati baba
Naona waungwana mnatafuta kila sababu ya kuweza anika akina dada.... Young vipi masomo unaendeleaje?
Yako poa Asha. Vp maisha yanasemaje?
Nchi yenye utamaduni huu mbovu wa maadili ni Swaziland kwa Mfalme Mswati, hivi mwakumbuka Mama Salma kawahi enda hudhuria huu upuuzi?
Nahisi harufu ya ashakum hapa..........................Naona waungwana mnatafuta kila sababu ya kuweza anika akina dada.... Young vipi masomo unaendeleaje?
Hongera zao bana tena sanaaaa??
Kama kweli hao ni bikra maana huku tanzania umri kama huo wangekuwa wanadunda na ARV'S.
Na kwa life la kibongo bongo hakika kwa style hiyo mpaka mimba zingekuwa zinakunywa dozi ya ARV'S
Na kwa wale dada zetu wanaojiuza wangekuwa wanatembea uchi kabisaaa
Alhamdurillah' Mungu ni mkubwa hamtupi mja wake.... Life is good. Nipo kujipa raha JF yoote yangu saizi, sijui tupo members watano tu tunaopost? lol. Vipi lakini masomo, GPA Imekaa vema?
Swaziland kwa mswati! kila mwaka jamaa kajiwekea utaratibu wa kuchagua vitoto vidogo tena bikra...
Hongera zao bana tena sanaaaa??
Kama kweli hao ni bikra maana huku tanzania umri kama huo wangekuwa wanadunda na ARV'S.
Na kwa life la kibongo bongo hakika kwa style hiyo mpaka mimba zingekuwa zinakunywa dozi ya ARV'S
Na kwa wale dada zetu wanaojiuza wangekuwa wanatembea uchi kabisaaa
Usiite utamaduni wa wenzako mbovu!! Kwani kila kitu kinategemea na jamii husika! Kibaya kwako kizuri kwa mwenzio! Si unaona hata wakameroon sehem zingine poa tu?? Hapa noma!
Wifi yangu mgomvi, ijumaa yote hii unamuuliza mtoto wa watu GPA? Si utamkwaza ashindwe kujivinjari na boom lake la mkopo?