Nchi gani Afrika yenye utamaduni huu?

Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,775
3,591
NchiganiAfrikayenyeutamadunihuu.jpg

mswat.jpg

E-mail: meezy@youngmaster.co.tz
 
Wifi yangu mgomvi, ijumaa yote hii unamuuliza mtoto wa watu GPA? Si utamkwaza ashindwe kujivinjari na boom lake la mkopo?
 
Nchi yenye utamaduni huu mbovu wa maadili ni Swaziland kwa Mfalme Mswati, hivi mwakumbuka Mama Salma kawahi enda hudhuria huu upuuzi?
 
Usiite utamaduni wa wenzako mbovu!! Kwani kila kitu kinategemea na jamii husika! Kibaya kwako kizuri kwa mwenzio! Si unaona hata wakameroon sehem zingine poa tu?? Hapa noma!
 
Hongera zao bana tena sanaaaa??
Kama kweli hao ni bikra maana huku tanzania umri kama huo wangekuwa wanadunda na ARV'S.

Na kwa life la kibongo bongo hakika kwa style hiyo mpaka mimba zingekuwa zinakunywa dozi ya ARV'S

Na kwa wale dada zetu wanaojiuza wangekuwa wanatembea uchi kabisaaa
 
Haaaaaaaahaaa umenitegua mbavu nduguuuuu duuuh haahaaa!
 
Swaziland kwa mswati! kila mwaka jamaa kajiwekea utaratibu wa kuchagua vitoto vidogo tena bikra...
 
Alhamdurillah' Mungu ni mkubwa hamtupi mja wake.... Life is good. Nipo kujipa raha JF yoote yangu saizi, sijui tupo members watano tu tunaopost? lol. Vipi lakini masomo, GPA Imekaa vema?

GPA Inakaa vyema ingawa ma lecturers wanakimbiza vipindi vyao ile mbaya hasa lecturer wa Maths yeye ndio anafanya sifa kwa kufundisha topic moja kwenye kipindi cha masaa mawili... Yaani ukizubaa tu umepitwa. So inabidi na mimi niende speed kama yao. Ila kiujumla masomo sio magumu sana. Vipi wewe huko...Kazi zinaendaje? Hujachakachua pesa za watu wewe kweli?
 
Hongera zao bana tena sanaaaa??
Kama kweli hao ni bikra maana huku tanzania umri kama huo wangekuwa wanadunda na ARV'S.

Na kwa life la kibongo bongo hakika kwa style hiyo mpaka mimba zingekuwa zinakunywa dozi ya ARV'S

Na kwa wale dada zetu wanaojiuza wangekuwa wanatembea uchi kabisaaa

Ha ha ha haaaaaa!!! Lakini ni kweli mkuu. Hata mimi nakubaliana na hilo.
 
Usiite utamaduni wa wenzako mbovu!! Kwani kila kitu kinategemea na jamii husika! Kibaya kwako kizuri kwa mwenzio! Si unaona hata wakameroon sehem zingine poa tu?? Hapa noma!

Hata mimi nakubaliana na kagame. Huo utamaduni ni utamaduni mbovu na nitaendelea kuupinga hadi kesho kutwa.
 
Wifi yangu mgomvi, ijumaa yote hii unamuuliza mtoto wa watu GPA? Si utamkwaza ashindwe kujivinjari na boom lake la mkopo?

Ambaye atakwazika na hili swali la Asha ni wale ambao hawajui kilichowapeleka chuoni na badala yake wanakuja kufanya ufuska na kugeuza pesa za wazazi wao kama pesa za kutanua na wanawake. Infact ana haki ya kuniuliza cuz siku niliyoondoka alinisindikiza na kunipa wosia kuwa nisome sana. By da way mimi sijawahi kusoma kwa boom na sidhani kama itakuja tokea.
 
Hongera zao bana tena sanaaaa??
Kama kweli hao ni bikra maana huku tanzania umri kama huo wangekuwa wanadunda na ARV'S.

Na kwa life la kibongo bongo hakika kwa style hiyo mpaka mimba zingekuwa zinakunywa dozi ya ARV'S

Na kwa wale dada zetu wanaojiuza wangekuwa wanatembea uchi kabisaaa

Aseee!!!!! Nimebaki nimeduwaa tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom