NCCR yameiva: Kafulila kuvuliwa uanachama Jumamosi!

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Katika kuhakikisha anapambana na kufunika hoja ya wanachama wanaotaka James Mbatia ajieleze kuhusu kukidhoofisha chama na kuwa kibaraka wa CCM tayari Mbatia amemvua Kafulila Ukatibu mwenezi wa NCCR Taifa na Mwenyekiti wa kina Mama Taifa, Bi Amina pia kavuliwa waadhifa huo.

Kwakuwa Mbatia anaona Kafulila na wenzake 28 waliosaini waraka wa kutaka ajieleze na apigiwe kura za kutokuwa na imani nae ndipo amechukua jitihada za kuwapunguza wanaoweza kupunguzika, hivyo kwa sasa wamebaki 26, anapanga kupunguza wengine wanne ili apate idadi anayoweza kuishinda, wajumbe hao ni wale wanaoteuliwa na Mwenyekiti ili kuwa wajumbe katika halmashauri kuu..
tayari kikao cha halmashauri kuu kimeitishwa jumamosi ijayo huku wajumbe wasiomtaka wakiwa hawajajulishwa ili wasihudhurie na hatimaye amvue Kafulila uanachama ili kujilinda, anaona hiyo ndio njia pekee maana hana namna nyingine ya kujinusuru, na baada ya kujibu hoja ameanza kufukuza wauliza hoja kwani hana majibu kwa mujibu wa waraka na ushahidi uliotolewa.
 
Kichwa cha habari, uhakika 100%, maelezo 45%. Unatabiri au una uhakika na unachosema?
 
Hivi kwa nini ukiwa mwanasiasa na akili ina-cease?
nimeamua kufanya research baada ya muda nitakuja na findings zangu.
 
Kasheria haka ka kumvua mtu uanachama halafu anapoteza kila kitu kanakatisha tamaa kama sio kusikitisha. Tulidhani vyama hivi vipya visingekatumia kasheria haka kumbe hata wao kanaonekana kuwafaa! KATIBA MPYA inatakiwa haraka ili tukafutilie mbali. Wenzao CCM walishindwa kukatumia kwa akina Sitta. Wakabuni mpango wa kumwambia abadili jinsia yake ili aendelee na Uspika. Akashindwa. JUzi wamemnyima nishani.
 
Itakuwa mara yake ya pili katika uanasiasa wake mchanga. Alishawahi kuvuliwa Gamba na Dr Slaa wakati yuko CDM kwa kula njama za kutaka kupora uenyekiti kwa Mbowe. Jasiri haachi asili.
 
Kama habari hii ni ya kweli, si habari njema kwa mustakabali wa upinzani endelevu unaojiandaa kushika dola 2015. Kafulila naye ni muhimu atafute jinsi ya kuchukuliana na viongozi wake, hata kama wanaonesha aina fulani ya udhaifu kiuongozi - kama kweli upo.
 
hapa umenena kaka angu!!!!lakini kumbuka kila mtu ameumbwa na tabia zake!!!wapo wanaovumilia kama wewe na wakina mtatiro!!!na nyinyi wengi ni kwa maslahi yenu baada ya kuutelekeza uhanarakati uliowafikisha hapo!!!!unadhani kafulila alitendwa sahihi chadema!!mbona Zito alimuunga mkono na alisema pasipo kumung'unya maneno kwamba katibu mkuu amekosea!!!ok inaweza ikamgharimu lakin yote katika yote Mungu yupo na yeye ndiye muweza!!!

Tanzania hakuna siasa, vyama vyote vya upinzani ni CCM A, B, C, D,...,Z.
 
Itakuwa mara yake ya pili katika uanasiasa wake mchanga. Alishawahi kuvuliwa Gamba na Dr Slaa wakati yuko CDM kwa kula njama za kutaka kupora uenyekiti kwa Mbowe. Jasiri haachi asili.
Kama tunadai Katiba Mpya ni lazima tudai Katiba Mpya ndani ya Vyama vyetu vya upinzani ambapo viongozi wete hawako tayari kukosolewa!! Ni dhahiri kwamba , JEMUS MBATI NI CCM na sasa anatekeleza Kazi ya CCM kuwaondoa Wapinzani Bungeni!!!

Hata kama JEMUS MBATIA atahonga Wajumbe Wa Halmashauri Kuu yote ,Kwa Lengo la Kumuondoa Kafulila hawezi kumuhonga MUNGU ambaye yupo Mbioni KUIONDOA CCM Madarakani ambaye ni mungu wa JEMUS MBATIA.

Hakuna Shaka kuwa Wananchi tunataka Wapinzani imara Bungeni wenye mtazamo wa kuhoji maswala ya Wizi wa CCM na viongozi walioko Serikalini!!
Hata hivyo suala linalo endelea katika Vyama vya Upinzani kwa sasa ni migogoro ambayo inafanya wezi wa rasilimali wafurahie.

Mtazamo wangu kwa hili ni Kwamba mtu PASIPO HAKI HAPANA AMANI na Jemus Mbatia Hawezi kutafuta amani Kwa Kumuondoa kafulila bali ajitazame kama tuhuma anazosema Kafulila ni za kweli bila kujali kibarua cha CCM. Leo Utamuondoa Kafulila Kesho utaondolewa wewe kwani ni vigumu sana kumutetea Mharifu!!!
 
mnh heading na maelezo vinajicontradict hebu nirudie kusoma
Taarifa zilizoko ni Kwamba Jemus Mbatia Ni mungu mtu NCCR na anataka kutumia Udikiteta Kumunyang'anya Kadi ya UanaChama kafulila hiyo ndiyo mada hasa Wakati Wajumbe wengi hawapo na VITISHO Vimetawala!!
 
Kama tunadai Katiba Mpya ni lazima tudai Katiba Mpya ndani ya Vyama vyetu vya upinzani ambapo viongozi wete hawako tayari kukosolewa!! Ni dhahiri kwamba , JEMUS MBATI NI CCM na sasa anatekeleza Kazi ya CCM kuwaondoa Wapinzani Bungeni!!!

Hata kama JEMUS MBATIA atahonga Wajumbe Wa Halmashauri Kuu yote ,Kwa Lengo la Kumuondoa Kafulila hawezi kumuhonga MUNGU ambaye yupo Mbioni KUIONDOA CCM Madarakani ambaye ni mungu wa JEMUS MBATIA.

Hakuna Shaka kuwa Wananchi tunataka Wapinzani imara Bungeni wenye mtazamo wa kuhoji maswala ya Wizi wa CCM na viongozi walioko Serikalini!!
Hata hivyo suala linalo endelea katika Vyama vya Upinzani kwa sasa ni migogoro ambayo inafanya wezi wa rasilimali wafurahie.

Mtazamo wangu kwa hili ni Kwamba mtu PASIPO HAKI HAPANA AMANI na Jemus Mbatia Hawezi kutafuta amani Kwa Kumuondoa kafulila bali ajitazame kama tuhuma anazosema Kafulila ni za kweli bila kujali kibarua cha CCM. Leo Utamuondoa Kafulila Kesho utaondolewa wewe kwani ni vigumu sana kumutetea Mharifu!!!

haya yalianzia chadema yetu!!!na ndio maana hawa viongozi wa ajbu ajabu kama wakina mbowe ni lazima watoke kwa ustawi wa upinzani
 
Kama habari hii ni ya kweli, si habari njema kwa mustakabali wa upinzani endelevu unaojiandaa kushika dola 2015. Kafulila naye ni muhimu atafute jinsi ya kuchukuliana na viongozi wake, hata kama wanaonesha aina fulani ya udhaifu kiuongozi - kama kweli upo.
Michael Aweda mimi nakufahamu vizuri na Unasali Kule Kwa Josephati Gwajima kabla ya KKT sasa ni wapi katika bibilia Mungu anashauri kuvumiliana na Viongozi wezi??? Hata yule Ndugu Yako Fredrick Summaye ulimusikia hivi karibuni akilalamika!!!
Kwa nini CCM wanatuhumiana lakini Hawavuani uanachama na wanaendelea kuiba rasilimali za nchi??
 
Kama habari hii ni ya kweli, si habari njema kwa mustakabali wa upinzani endelevu unaojiandaa kushika dola 2015. Kafulila naye ni muhimu atafute jinsi ya kuchukuliana na viongozi wake, hata kama wanaonesha aina fulani ya udhaifu kiuongozi - kama kweli upo.
Madiwani wa Arusha mliwafanyaje CHADEMA? Au umesahau mara hii!
 
haya yalianzia chadema yetu!!!na ndio maana hawa viongozi wa ajbu ajabu kama wakina mbowe ni lazima watoke kwa ustawi wa upinzani

Wewe mwanachadema ntogwisangu,

1 Unawezaje kuwa mwanachadema unayeongozwa na viongozi wa ajabu ajabu. Mtoto wa nyoka ni nyoka. Anayeongozwa viogozi wa ajabu ajabu yeye anakuwaje? Narudia, nina mashaka na uanachadema wako.
2) Kama wewe ni mwanachadema umekosea kanuni na taratibu kuwapinga viongozi wako hadharani kwa staili ya ccm. Humtaki Dr Slaa, Mbowe na Mimi unadai nimeacha uanaharakati. Ndani Chadema wewe unamkubali nani?
 
Hivi James Mbatia anafanya kazi gani? au biashara gani au anapataje kula yake ya kila siku?

Naomba majibu ya kweli kama hujui shut up!
 
Back
Top Bottom