Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,545
- 220,281
Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa, kwamba Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemtumia Barua ya wito TRUE BOY likimuhitaji kwa Mahojiano kuhusu Kibao chake kabambe alichokitoa hivi karibuni, bado hatujajua kama ameitwa ili Kupongezwa kwa ujumbe wake Muruwa kwa Jamii au la.
Hata hivyo Mwanamuziki huyo ametangaza kuwaelekeza Wanasheria wake watoe taarifa kwamba yuko ziarani na akirejea ataonana na BASATA
---
Nay katika ukurasa wake rasmi wa Instagram ameandika ujumbe huu:
Nimepokea Barua Ya Wito Leo Asubuhi Kutoka baraza La Sanaa Tanzania #Basata Ikiniitaji Kufika Ofisi Za Basata Leo Saa Nne Asubuhi. Isue Ni Wimbo Wangu Wa #Amkeni Nimeshindwa Kufika Leo Coz Nipo Safarini, Mwanasheria Wangu Amesha fanya Mawasiliano Nao Kuomba Siku Nyingine.