Nay wa Mitego aitwa BASATA. Atuma Wanasheria wake

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,956
218,792
Screenshot_2023-07-27-15-48-57-1.jpg

Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa, kwamba Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemtumia Barua ya wito TRUE BOY likimuhitaji kwa Mahojiano kuhusu Kibao chake kabambe alichokitoa hivi karibuni, bado hatujajua kama ameitwa ili Kupongezwa kwa ujumbe wake Muruwa kwa Jamii au la.

Hata hivyo Mwanamuziki huyo ametangaza kuwaelekeza Wanasheria wake watoe taarifa kwamba yuko ziarani na akirejea ataonana na BASATA
---

Nay katika ukurasa wake rasmi wa Instagram ameandika ujumbe huu:

Nimepokea Barua Ya Wito Leo Asubuhi Kutoka baraza La Sanaa Tanzania #Basata Ikiniitaji Kufika Ofisi Za Basata Leo Saa Nne Asubuhi. Isue Ni Wimbo Wangu Wa #Amkeni Nimeshindwa Kufika Leo Coz Nipo Safarini, Mwanasheria Wangu Amesha fanya Mawasiliano Nao Kuomba Siku Nyingine.
 
wewe ni mnafiq daraja la kwanza, umejifanya humjui una ambiwa upewe wimbo hutaki unataka uambiwe unahusu nini

sikiliza mwenyewe ujue unahusu nini, ndo nyie mnasaini mkataba hata ujasoma
mbona unawashwa, nimemquote mtoa mada na amenijibu vizuri bila kuweka tusi lolote ila kiherehere chako kinakufanya udandie post isiyokuhusu.
 
View attachment 2700581

Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa , kwamba Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemtumia Barua ya wito TRUE BOY likimuhitaji kwa Mahojiano kuhusu Kibao chake kabambe alichokitoa hivi karibuni , bado hatujajua kama ameitwa ili Kupongezwa kwa ujumbe wake Muruwa kwa Jamii au la .

Hata hivyo Mwanamuziki huyo ametangaza kuwaelekeza Wanasheria wake watoe taarifa kwamba yuko ziarani na akirejea ataonana na BASATA
BASATA Sasa ndiyo wanataka kuzidi kuupaisha hiyo nyimbo, bora wangepotezea tu!!
 
View attachment 2700581

Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa , kwamba Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemtumia Barua ya wito TRUE BOY likimuhitaji kwa Mahojiano kuhusu Kibao chake kabambe alichokitoa hivi karibuni , bado hatujajua kama ameitwa ili Kupongezwa kwa ujumbe wake Muruwa kwa Jamii au la .

Hata hivyo Mwanamuziki huyo ametangaza kuwaelekeza Wanasheria wake watoe taarifa kwamba yuko ziarani na akirejea ataonana na BASATA
Kazaneni kumsifu,kwanza huyu anatakiwa atulizwe kolokoloni kama mwaka hivi bangi ziishe kichwani
 
Hii nchi ukisema ukweli unakuwa adui wa vibaraka wa viongozi na viongozi

Watu wanasema kweli kuwa, mkataba wa bandari hauna tija, watu wametafutwaa weee mpaka uvunguni na kutishiwa maisha

Ukweli utabaki kuwa tishio la wajinga na wenye hasira zisizo na faida
 
Back
Top Bottom