Vua kwanza hilo shati la kijani halafu ukimaliza ndo utafikiriwa vinginevyo jf ni maintelijensi kuliko unavyofikiria.
Lakini hilo shati limesaidia kumjua vinginevyo mmhh.
Vua kwanza hilo shati la kijani halafu ukimaliza ndo utafikiriwa vinginevyo jf ni maintelijensi kuliko unavyofikiria.
Yeye inaonesha ana itaka JF kwa manufaa ya kisiasa zaidi,...
hiyo inatupa mtazamo kwamba ndo mwendelezo wa Mukama kutaka "waidhibiti" JF,..
Angekua yupo kibiashara zaidi,toka 2007 yeye ni mwana JF anawajua moderators humu ange waPM,or kama hawajui basi kuna jukwaa la uchumi na biashara,...
duh,umenoa mkuu
hahahha so inawezekana huyu ndo kikosi cha infatria kilichotumwa na Mukama katika harakati za kurevive chama .
But anywa way kama mchambuzi ni askari wa CCM so far sio kama wale wengine huwa naona comments zao hazina kichwa ,miguu wala kiuno. teh teh teh
Mkuu kanunue HISA za KAGODA,MEREMETA, TAN-GOLD .....
We siulikuwa mgombea ubunge CCm Kinodoni na ulikuwa unatumia HABARI LEO na JAMBOLEO kanunue HISA HUKO