Nawezaje Nunua Hisa za Jamiiforums

Yeye inaonesha ana itaka JF kwa manufaa ya kisiasa zaidi,...
hiyo inatupa mtazamo kwamba ndo mwendelezo wa Mukama kutaka "waidhibiti" JF,..
Angekua yupo kibiashara zaidi,toka 2007 yeye ni mwana JF anawajua moderators humu ange waPM,or kama hawajui basi kuna jukwaa la uchumi na biashara,...
duh,umenoa mkuu

hahahha so inawezekana huyu ndo kikosi cha infatria kilichotumwa na Mukama katika harakati za kurevive chama .

But anywa way kama mchambuzi ni askari wa CCM so far sio kama wale wengine huwa naona comments zao hazina kichwa ,miguu wala kiuno. teh teh teh
 

hahahha so inawezekana huyu ndo kikosi cha infatria kilichotumwa na Mukama katika harakati za kurevive chama .

But anywa way kama mchambuzi ni askari wa CCM so far sio kama wale wengine huwa naona comments zao hazina kichwa ,miguu wala kiuno. teh teh teh

Yeah,this brother of mine is bright,..
anaweza kusimamia anacho kiamini kwa "hoja na kutumia akili"!!!
wale wengine mmmh,full matope,.....
huyu sasa ndo mpambanaji,ingawa sijui uvumilivu wake wa mawe ya JF haha
 
Mkuu kanunue HISA za KAGODA,MEREMETA, TAN-GOLD .....
We siulikuwa mgombea ubunge CCm Kinodoni na ulikuwa unatumia HABARI LEO na JAMBOLEO kanunue HISA HUKO
 
Mkuu kanunue HISA za KAGODA,MEREMETA, TAN-GOLD .....
We siulikuwa mgombea ubunge CCm Kinodoni na ulikuwa unatumia HABARI LEO na JAMBOLEO kanunue HISA HUKO

Ameondoka tayari jamani duh,sijui analia
 
Sitofautiani na wachangiaji wengine. Nitakachokifanya hapa ni msisitizo tu wa michango iliyopita.
Kama ambavyo waraka wa kuvua gamba ulivyotanabaisha kuwa baadhi ya sababu za magamba kuchukiwa na vijana ni mtandao wa JF ambao unamilikiwa na vijana wa chadema ambao hupanga mambo yao ya kupambana na magamba kupitia mtandao huo. Kwa mantiki hiyo magamba waliahidi yafuatayo:
1. Kupambana na JF kwa namna yoyote ile ili kuidhoofisha
2. Kuanzisha mtandao wao (JF yao) ambayo itaipamba magamba, kuiponda chadema na kuidhoofisha JF.

Na hapa sasa wameanza utekelezaji:
1. Kwa kuwa (kwa mujibu wa waraka wa magamba) JF ni jukwaa la vijana hivyo wameamua kumtuma "kijana" ambaye anaonekana ameingia kwa njia ya kiungwana tena ya "kuringishia" pipi (Awe mwanahisa ili awe na sauti ndani ya JF, baada ya hapo mtandao utakuwa umeshatekwa).
2. Mwanamagamba huyu waliyemtanguliza anaonekana ameingia kwa staili ya aina yake (kuwazuga watu). Jana alitoa "uchambuzi mzuri sana" kuhusu hoja ya Zito ambapo watu wengi walim-thanks. Hii aliitanguliza ili kujenga imani kuwa yeye ni great thinker na ana positive vision tofauti na magamba wenziye. Amefanya hivyo kwa makusudi ili msiweze kuhisi wazo lililo nyuma yake na waliomtuma.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/133287-mheshimiwa-zitto-kwa-hili-umekosea.html

Kutokana na maono yangu hayo nadhani jukumu linabaki kwa wana-JF hasa wale ma-Premium Members na Wanahisa wakubwa kuamua "KUUZA" mtandao huu kwa Magamba kama ilivyokuwa kwa Habari Cooperations au...
 
Speaker yupo so aggressive kwa watu wanaotaka kutupotezea JF yetu. Thank you Speaker umewasemea watu wengi sana tena mapema kabisa.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom