Nawezaje kutumia Jf bila data?

Inawezekana follow link hiyo ukiwa unatumia line ya tigo, Internet.org by Facebook

Na utawezakutembelea tovuti kadhaa bure, ikiwemo jf web version.

Hiyo link Internet.org by Facebook. siyo application ya kiInstall, hiyo kama proxy.

288b04ca8f2223cf8d8e3873f9751206.png


58071433f6dd4aefd5a1643f2403681f.png


658f126562cb33deb0f47e2a4cd39517.png

Shukrani mkuu, nawezaje kufungua hiyo linki bila kuwa na data? kuna namna ya kujisajili kabla?
 
Hiyo bure waliyoimaanisha ni ipi? ukiweka pesa haikatwi au? nilijaribu siku moja wakakata hela kama kawaida. Hakuna vya bure siku hizi.
 
Inawezekana follow link hiyo ukiwa unatumia line ya tigo, http://0.internet.org/

Na utawezakutembelea tovuti kadhaa bure, ikiwemo jf web version.

Hiyo link http://0.internet.org/. siyo application ya kiInstall, hiyo kama proxy.

288b04ca8f2223cf8d8e3873f9751206.png


58071433f6dd4aefd5a1643f2403681f.png


658f126562cb33deb0f47e2a4cd39517.png
Wabongo kwa ubishi... Haya sasa mmeumbukaaaa mimi mara zote natumia Jf bila kulipia data.. Naona mdau kawajibu na screeshot kabisa.. Acheni ubishii
 
kwa kifupi tu, kama cm yako ina opera min, basi fungua opera min then search hapo freebasics, kila kitu utakipata hapo toka app ya freebasic.
 
Heshima kwenu wakuu, kuna taarifa kwanza kampuni ya mawasiliano ya Tigo Tanzania imeingia mkataba na Jamii Forums ili kuwawezesha watumiaji kuingia Jf bila makato ya ada kwa mteja wa Tigo.

Naomba kufahamishwa namna ya kuingia Jf bila data.

Nashukuru.
 
Back
Top Bottom