Gamlemilwe
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 290
- 200
Ninatafuta kioo cha simu Samsung Galaxy GT-N7000
Agiza AliExpress bei chee tungoja waje
mimi nilitafuta cha j1 mini nikaambiwa kilo na nusu
ni search vipi mkuu ?Agiza AliExpress bei chee tu
Kweli nimeona ni cheap lakini sina utaalamu/mazoea ya kuagiza Aliexpress.Agiza AliExpress bei chee tu
nimejaribu kucheki mtandaoni wanauza kati ya elfu 35 na elfu 50., sasa kwa kiasi hicho hata tecno hupati.Sasa simu kama hiyo kuliko utengeneze kioo sio hora hio ela ukanunue tekno
rahisi sana ungekuwa karibu ningekuagizia kwa acc yanguKweli nimeona ni cheap lakini sina utaalamu/mazoea ya kuagiza Aliexpress.
Asante kwa ushauriusiteseke mkuu, kama una cadi ya viza , dwnload aliexpress thn fungua account , fanya malipe xubil mzg...
nimejaribu kucheki mtandaoni wanauza kati ya elfu 35 na elfu 50., sasa kwa kiasi hicho hata tecno hupati.