Naweza kutengeneza virusi asiyekuwa na madhara?

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,314
2,635
Heshima kwenu wakuu wote wa jf hususan kitengo hichi cha sayansi na tekn.mimi nahitaji kutengeneza virus asie kuwa na madhara.najua humu ndani mpo wakali wa mambo haya. Mnielekeze hatua kwa hatua.LENGO NI KUJIFUNZA SINA MAANA TOFAUTI.
 
kujifunza kuwa e-terrorist? Ni program kama nyingine. Kwa nini usijifunzoe kitu kingine? Test utofanyia wapi?
 
Heshima kwenu wakuu wote wa jf hususan kitengo hichi cha sayansi na tekn.mimi nahitaji kutengeneza virus asie kuwa na madhara.najua humu ndani mpo wakali wa mambo haya. Mnielekeze hatua kwa hatua.LENGO NI KUJIFUNZA SINA MAANA TOFAUTI.

hakuna kitu kinaitwa virus kisicho na madhara
 
Dah! Jaribu kwanza kujifunza virus nini, kuna aina kibao za virus mpaka sasa; kila moja ana misheni tofauti anapofanikiwa kuingia katika mashine yako na kulingana na alivyoagizwa na mtengenezaji! Unapoongelea "madhara"-kile kitendo cha kuvamia mashine ya mtu na kuanza kuiagiza ifanye vitu tofauti na matakwa ya mmiliki tayari hayo ni madhara!!! Najua hauna knowledge yoyote ya programming, lakn sijajua wewe unataka kutengeneza "chumaulete" la kuchuma vitu gani, yaani malengo yako hasa ni nini!
Ingekaa vizuri zaidi kama ungeuliza " Computer Virus ni nini, na madhara yake ni nini katika computer?"
Naamini ungepata maelezo ya kina kutoka kwa wabobezi wa mambo hayo, wamejaa kibao humu ndani utawaona tu!
 
safi sana mkuu nimekusoma vizuri.kweli sina knowledge ya programming,naweza kusema ni kitu kimekuja tu auto kichwani. nakumbuka niliwahi kuona virus mmoja anajina la raila odinga wa kenya nikajiuliza hivi hata kwenye kampeni watu wanashirikisha virus kujinadi? ok mkuu mimi binafsi nilidhani ni ishu ndogo tu.kama ambavyo mtu anaweza kuelekeza mtu jinsi ya kufomati computer au ku divert simu iende kwa mtu mwingine nk.
 
umesema kweli ukijua hapa utajua pale.kwuwa ni kitu kisicho na maana sana kkwangu tofauti na kujifunza ngoja ni achane nacho.nashukuru mkubwa.
 
umesema kweli ukijua hapa utajua pale.kwuwa ni kitu kisicho na maana sana kkwangu tofauti na kujifunza ngoja ni achane nacho.nashukuru mkubwa.

No sio kwamba huache virus ni programs zenye madhara thats why they are called viruses, so you need to learn how to program...
 
kaka nashukuru sana umenipa link nimeona nimefurahi japo kumbe ni kosa la jinai. ngoja nigonge thanks
 
mkuu unaajenda gani ya siri tena virus lazima awe na madhara ila yanatofautiana kulingana na kusudio la mtengenezaji ungekuwa karibu ningekwambia acha bluetooth ya cm yako on nikutumie wachache ukaangaike now kdogo mkuu
 
yaani kaka umenikatiri ile mbaya coz nilikuja kwako hukunpa ngoja nipate mautundu humu jf nikija kwako nikuwa full nodo.mean nitatengeneza virus mmoja kabambe. nita m rename SLAVE au DR.4Ne(joking)
 
yaani kaka umenikatiri ile mbaya coz nilikuja kwako hukunpa ngoja nipate mautundu humu jf nikija kwako nikuwa full nodo.mean nitatengeneza virus mmoja kabambe. nita m rename SLAVE au DR.4Ne(joking)

uwezi kuamini nipo full protected firewall za nguvu mm tu nitakuwa na access ya kuchungulia kwko
 
uwezi kuamini nipo full protected firewall za nguvu mm tu nitakuwa na access ya kuchungulia kwko

haya bana ngoja niisome fresh hiyo link iliyowekwa na brother.na wewe unatakakiwa uniongezee maujuzi ili nikichanganya hapa na pale mambo yaende sawia.
 
Back
Top Bottom