Thanks LD kwa kweli weekend ilikuwa a blast kwa upande wangu due to the following:-
Baba mwenye nyumba aliwahi kurudi nyumbani kucheza na junior mshangao kubwa
Hakuwa amelewa
Alishiriki dinner na familia
Alienda kanisani jana for the first time this year - asante Mungu
Leo asubuhi amempeleka junior shuleni
Teamo nashukuru kwa ile thread yako nafikiri aliisoma hapa nina kazi ya ziada kutafuta ID yake.
Changes are there to be made hureeeeeeeeeeee 2011
Wameja, wasalipa, ndaga fijo, thanks, idaga na nyingine nyigi. ILa tuu kwenye soda wanywe mvinyo mmh hapo nina mashaka nilidhani utawashauri wanywe maji.
Thanks LD kwa kweli weekend ilikuwa a blast kwa upande wangu due to the following:-
Baba mwenye nyumba aliwahi kurudi nyumbani kucheza na junior mshangao kubwa
Hakuwa amelewa
Alishiriki dinner na familia
Alienda kanisani jana for the first time this year - asante Mungu
Leo asubuhi amempeleka junior shuleni
Teamo nashukuru kwa ile thread yako nafikiri aliisoma hapa nina kazi ya ziada kutafuta ID yake.
Changes are there to be made hureeeeeeeeeeee 2011
Nyumba ndogo ilisafiri, hivyo sikuwa na option..
hahaha Mshiki karibu Usalule, Say No to Chasaka...lol:A S-fire1:
Amen Msasha, lakini weekend ijayo itabidi nije kukutembelea, haiwezekani kaka kujificha huko kiasi hicho, mwisho utuletee chasaka bureeee!!
Mh...!!! Vyasaka tena...??? But ok all I can say is thank you for good monday wishes.
1. Nawapongeza wale waliolewa kupita kiasi weekend ijayo mpunguze,
2. Wale waliotongoza wengine kwa dharau muache.
3. Wale waliogongwa poleni,
Asante LD yangu wala haikuwa nzuri hata kidogo
kwa sababu mbali mbali zilizo nje ya uwezo wangu
Lakini nakushuru ,weekend ijayo naomba ukaribisho kwako
Don't count your chickens before they're hatched.
:disapointed:
Sijui weekend hii ulikuwa unafuatilia nyendo za Baba_Enock? It seems wewe ndiye ulikuwa umekaa karibu na counter pale naniiiii?