Askofu namtanguliza Mungu hivyo vifaranga vitaanguliwa.
Amani ya bwana iwe juu yako LD, akuangazie na kukuongoza katika kila jambo
lily flower karibu kwenye felllowship yetu ipo hapa tegeta kwa ndevu......!Thanks LD kwa kweli weekend ilikuwa a blast kwa upande wangu due to the following:-
Baba mwenye nyumba aliwahi kurudi nyumbani kucheza na junior mshangao kubwa
Hakuwa amelewa
Alishiriki dinner na familia
Alienda kanisani jana for the first time this year - asante Mungu
Leo asubuhi amempeleka junior shuleni
Teamo nashukuru kwa ile thread yako nafikiri aliisoma hapa nina kazi ya ziada kutafuta ID yake.
Changes are there to be made hureeeeeeeeeeee 2011
Amani ya bwana iwe juu yako LD, akuangazie na kukuongoza katika kila jambo
Sante bibie........unipitie leo twende fellowship
Lager bwana ni noma saaa nyingine mie ndo zimepungua jioni hii maana mchana nilikuwa not reachable kabisa. Asante