Nawatakieni jumatatu njema mabibi na mabwana

LD

JF-Expert Member
Aug 19, 2010
3,014
578
Habari zenu binafsi wapendwa, kaka,dada, baba,mama,babu/bibi.

Hongereni kwa kumaliza weekend salama, natumaini ilikuwa nzuri, hata kwa wale ambao haikuwa nzuri kama walivyotarajia poleni ila la msingi tunamshukuru Mungu kwa sababu bado uzima upo.

Nawapongeza wale wote waliopata nafasi ya kushiriki mlo na familia zao, wale waliolewa kupita kiasi weekend ijayo mpunguze, wale waliotongoza wengine kwa dharau muache, wale waliotakiwa kwenda kanisani halafu hawekwenda mbadilike. Wale waliogongwa poleni, wale wanaopenda sana pepsi/coca mpunguze ikiwezekana pata mvinyo kidogo tu kwa afya.

Haya nawatikieni furaha, amani, na nguvu za kufanya kazi wiki nzima hii. Malengo yenu yatimie na yafanikiwe kwa kiwango cha juu.

MBARIKIWE.
 
ubarikiwe nawe pia LD!!!!
Blue monday, na hii hang over acha mchezo kabisa,
Nipo na chupa kubwa la maji barrriiiiiiiidi, kupunguza hii hali!!!!
 
ubarikiwe nawe pia LD!!!!
Blue monday, na hii hang over acha mchezo kabisa,
Nipo na chupa kubwa la maji barrriiiiiiiidi, kupunguza hii hali!!!!

Amen bacha, weekend ijayo upunguze kidogo ee!!
 
Aisee karibu sana, ila siku hizi unanitenga sana, hata fellowship hukuja jana. But I hope jpili ijayo utakuja.

NJOO UFANYIWE MAOMBI....!leo tutakuwa africana pub...!NJOOO NJOOO NJOOO NJOOOOO NJOOO UFANYIWE MAOMBIIIII
 
Ubarikiwe na wewe pia!!:A S kiss:

Amen Msasha, lakini weekend ijayo itabidi nije kukutembelea, haiwezekani kaka kujificha huko kiasi hicho, mwisho utuletee chasaka bureeee!!
 
Back
Top Bottom