Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,767
Nimeshinda hapa tokea juzi nawasubili tuchati mpka nachoka jamani..
Haya, tizekuja wandee na waghosi,
nena kingine.
Saint Ivuga, c unajua mambo ya midadi?subilini au subirini..? kiswahilli - F
nimepungua kilo saba na nusu
Nilikuona ulivyokuwa unahangaika kule fesibuku.
Hivi unakuwaje? Jf ikifa?
maana inakoelekea siku itazimwa mazima.
hahhhaaa we acha tu, halafu fesibuku wala hakunogi...
uwiiiiiiiiiiiiiiiii
Ndo walia ? Ama wacheka ? habari ndiyo hiyo!
La msingi tuanze mazoezi ya ule wimbo wa parapanda!