Nawapenda sana.

YNNAH

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
1,702
969
Wapendwa...yani nashindwa hata nielezeje. Ni furaha na faraja iliyoje mliyonipatia leo. Yani nimefurahi na kufarijika saaanaa tena saaanaa...... Mungu awabariki na kuwalipa mbadala.
 
hata sisi tunakupenda sana....ni furaha gani hiyo wapwa wamekupatia...?..tushirikishe kidogo basi....
 
Mwaya hebu tupe habari njema.. Am so longing for good news.. Maana what a hectic day it has been for moi..
 
lile tangazo lilizaa matunda?? hongera na me nitatafuta siku za usoni.lol
 
ni vizuri kufarahi. lakini kwenye lile tangazo lako ulinibania hadi nikahisi sina sifa za kuwa mwanaume. kwanini lakini jamani!?
 
Back
Top Bottom