Napenda sana wanawake hii dunia wanawake wasinge kuwepo ningeteseka sana

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Habari.

Napenda sana wanawake , yani na wapenda sana wanawake kwa kweli, siwezi kuishi bila wanawake kwenye hii dunia hata niwe na utajiri kiasi gani kweli si wezi kuishi bila mwanamke hakika

Ukweli ni kwamba mimi napenda sana jinsia ya kike , naipenda tuu zaidi ya kingine na ndivyo nilivyo umbwa. Japo wananiumiza sana kihisia , hawana huruma ila mimi nawapenda sana wanawake na huu ndiyo udhaifu wangu nilio umbiwa na hakuna namna mimi bila wanawake /mwanamke kwa kweli siwezi kabisa kusonga mbele.

Wakuu naombeni msaada wa kiakili, kimawazo na kijinsia pamoja na dawa kama zipo ili nipunguze huu udhaifu wakupenda sana wanawake , maana siku ikatokea duniani hakuna wanawake nitateseka sana .

"Mimi furaha yangu ni wanawake na furaha yangu kuu ni mwanamke nitakaye mpenda"

Ee Mungu nipe mke mwema atakae wezana na mimi kwa udhaifu huu nilio nao maana na penda sana mwanamke na asije kutumia kumpenda kwangu kama silaha ya kunichapia. Amina
 
Back
Top Bottom