Uchaguzi 2020 Nawaonea huruma madiwani na wabunge waliopitishwa kwa tiketi ya CCM

Inashangaza shetani kuquote na maneno ya biblia takatifu.Niwekee clip ambayo Lissu alisema anaunga mkono ushoga.Tuanzie hapo.
Utakaponikuta reception siku hiyo nikiwa nawaelekeza wenzio kwa Mungu na wewe nikakuelekeza njia ya kwenda jehanam ndio utajua shetani ni nani
 
Upinzani ulishajifia miaka mingi hiki kilichobaki kilikua kikundi cha wahuni waliokua wanatumia demokrasia kama ngao kutekeleza uporwaji wa wananchi na mali zao

Upinzani ni muhimu sana kwa afya ya taifa lakini uwe upinzani wenye uzalendo sio huu wa akina Zito, Tundu, Maalim na wenzao
Akili imevia sio bure.na kuongea na mtu low km wewe ni kupoteza muda.Nalog off.
 
Ukweli mchungu ni kuwa shamrashamra zikishapungua, mwenyekiti wao bila kificho atawaambia kupitia umma kuwa sasa ni wakati wa kulipa fadhila. Haiingii akilini uwang'oe Mdee, Mbowe, Lema, Mbilinyi, Bulaya, Heche, Matiko, Msigwa na usilipe fadhili (price to pay).

Jiandaeni kisaikolojia. Jiandaeni kutumika kama pampas ndani ya chama chenu hicho hicho. Jiandaeni kufungwa midomo. Jiandaeni na utumwa huru.

Najua wengi nafsi hazina kicheko japo kinywani vipo. Dr. Tulia kasema mwenyewe hawakustahili. Sio kauli ya kubeza tu. Wameona uhalisia na sasa wanashangaa

Ni kama Yuda aliyetamani kuvitema vipande vya fedha ikashindikana kwa kuwa ilibidi maandiko yatimie, ila ole wake ambaye maandiko yametimia kwa njia ya yeye.
Mwaka 2010 na 2015 wakati Jaji Lubuva akitangaza matokeo watu bila kujali vyama vyetu tulikuwa na furaha sana. Huku jaji akimtaja Magufuli watu wanashangilia, akimtaja Lowasa watu wnaashangilia akitajwa Chief Lutalosa Yemba tunacheka na kufurahi. Lakini Leo nimetembea wilaya tatu kwa siku moja kokote nilikopita watu hawana habari na matokeo. Hakuna mood kabisa. Tv zimewashwa kila mahali laikini watu haata hawangalii. Unajiuliza inamaan nchi nzima ilikuwa ya wapinzani.?
 
Mm naishi kwa shemeji, namtegemea dada akate mauno vzr huko chumban ili nipate kuishi.
CCM au upinzani kushinda mm hainisaidii chochote ila nyie upinzani tumieni akili kwenye mambo yenu, mlitegemea kushinda kupitia kura za huruma lkn watanzania wamewanyoosha.

Bungen badala ya kukaa na kujadili mambo ya maana lkn ndo kwanza kupinga kila kitu, na wakat wa coronavirus ety mkasema tufungiwe ndani (hv ht ww una akili timamu kweli ww, yn ufungiwe ndan hlf utakula hewa au.?) Tulien hvy hvy iwaingie vzr

Magufuli mume wenu
Refer paragraph #1 hapo juu sema Magufuli mume wangu,hao pundamilia wanaofanana wakishaingia mle jengoni wanakopiga makofi hovyo huyo unayemshangilia hapa akawaamuru waunde muswada kuwabana wadaiwa wa HESLB hata wasiojulikana kama wameajiriwa ama lah ili kila mwezi walipe 170K ya deni lao otherwise waende jela ndo utajuta........

Utachagua umsaidie dada yako kukata mauno chumbani au uende jela,na navyokuona wewe utachagua option A kumsaidia dada kukata viuno maana una uelewa finyu sana.
 
Refer paragraph #1 hapo juu sema Magufuli mume wangu,hao pundamilia wanaofanana wakishaingia mle jengoni wanakopiga makofi hovyo huyo unayemshangilia hapa akawaamuru waunde muswada kuwabana wadaiwa wa HESLB hata wasiojulikana kama wameajiriwa ama lah ili kila mwezi walipe 170K ya deni lao otherwise waende jela ndo utajuta........

Utachagua umsaidie dada yako kukata mauno chumbani au uende jela,na navyokuona wewe utachagua option A kumsaidia dada kukata viuno maana una uelewa finyu sana.
Yap yap, hy option A ndio mzur itabid nije na kwako nkukatie mauno, au unasemaje mkuu.?
 
I can see how you are grieving..poleni sana ndio siasa hiyoo mchezo wasayansi na kushambuliana golini kwa zamu wakati wa kampeni jukwaa mliliteka ila sasa ni vilio na malalamishi.

Jipangeni uchaguzi ujao.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Usiharibu maana ya sayansi. Akija kukuibia mtu akaondoka na TV yako utasema katumia sayansi? Think!
 
Huwa ninasema kila siku akili ya muafrika the best it can do ni kuvukia barabara, not logical and rational thinking... Imagine mtu anashangilia kupangiwa mtu wa kumtawala, imagine licha ya kuona jirani yake, ndugu yake na Mtanzania mwenzake abadhulumiwa haki yake, ameumizwa na wengine kuuawa but yeye ndiyo kwanza anakenua meno kwa furaha. Na hapo wala hatarajii kupata chochote wakati wenzake waliyofanya hayo wanategemea malipo au fadhila....
Hongera zako uliye na logical and rational thinking. Nadhani makada wa upinzani pekee ndo wana hii kitu
 
Kuna mtu akifa leo hii,mitandaoni na mitaani itakuwa ni sherehe.
Kuna watu wenye akili Kama zako walimuombea na kumusemea kifo yule mzee mwenye Nywele nyeupe lakina Cha ajabu wao ndo wamekufa yeye wakamuacha.
Kwahiyo sitaona Wala kushangaa Kama nawewe ukifa kabla ya unae muombea na kumtakia kifo.

Ushauri; Tukifunze kuthibiti vinywa vyetu maana maneno huumba.
 
Hivi wewe uliamini kabisa kuwa Chadema watashinda? Pole sana na msisikitike sana jifunzeni pale mlipojikwaa.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Kwa Tanzania hasa ya Magufuli kushinda na kutangazwa ni vitu viwili tofauti tena visivo tegemeana. Nipo na CCM wenzio waandamizi nao wanashangaa kinacho endelea. Kwa mara nyingine tena impact ya yanayo endelea ni hasara kwa taifa.
 
Back
Top Bottom