Uchaguzi 2020 Nawaonea huruma madiwani na wabunge waliopitishwa kwa tiketi ya CCM

Nasubiri kuona uso wake siku atakapotokea mbele ya jamii, niiskie na sauti yake, wanasaikojia tutapata majibu.

Sometime unaweza dhani unamuumiza jirani yako kumbe unajiumiza mwenyewe, zaidi ukishajulikana ni kisirani.
 
I can see how you are grieving..poleni sana ndio siasa hiyoo mchezo wasayansi na kushambuliana golini kwa zamu wakati wa kampeni jukwaa mliliteka ila sasa ni vilio na malalamishi.

Jipangeni uchaguzi ujao.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Ndugu mlokozi sayansi na uhuni ni vitu viwili tofauti na havitengamani.
By the way, mshamaliza mlokuwa mnafanya basi fungulieni mitandao.
 
Huwa ninasema kila siku akili ya muafrika the best it can do ni kuvukia barabara, not logical and rational thinking... Imagine mtu anashangilia kupangiwa mtu wa kumtawala, imagine licha ya kuona jirani yake, ndugu yake na Mtanzania mwenzake abadhulumiwa haki yake, ameumizwa na wengine kuuawa but yeye ndiyo kwanza anakenua meno kwa furaha. Na hapo wala hatarajii kupata chochote wakati wenzake waliyofanya hayo wanategemea malipo au fadhila....
Wewe endelea kuugulia penicillin injection na kitaalamu huwa wanasema haifai kuchomwa kwenye jua kali na ukishachomwa shruti ukae kwanza..zingatia hayo Mike

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Ndugu mlokozi sayansi na uhuni ni vitu viwili tofauti na havitengamani.
By the way, mshamaliza mlokuwa mnafanya basi fungulieni mitandao.
Kunywa cocacola pressure ishuke kamanda yaani imepigwa blancoo upo chali hahahah!

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Kunywa cocacola pressure ishuke kamanda yaani imepigwa blancoo upo chali hahahah!

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Coca-Cola si tiba ya hypertension, hiki unachofurahia impact yake inakuhusu unless you are an insider.
 
Coca-Cola si tiba ya hypertension, hiki unachofurahia impact yake inakuhusu unless you are an insider.
Hivi wewe uliamini kabisa kuwa Chadema watashinda? Pole sana na msisikitike sana jifunzeni pale mlipojikwaa.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Pamoja na kwamba tumekosa udambwi dambwi bungeni
Heche, Mbowe, Mdee, Matiko, Bulaya, nk
Lakini kuna kitu cha kujifunza hapa
Tuangalie wabunge hawa ndan ya miaka 5 wamefanya nn? Au wamelifanyia nn Taifa

Tangia awamu ya tano iingie madarakani
Wapinzani kila kitu wanapinga tu
Mara wajizibe midogo
Mara wamesusia bajeti
Kipindi cha corona wametoka nje ya bunge
Leo wametolewa bungeni mazima kwa mijibu wa katiba
Kura azikutosha kelele sasa za nini?
hata wangeteuliwa kuwa wabunge wangekuwa wanasusa susa tu ,,
Ni kheri wakae nje mazima
 
Yaani wewe unavyopuyanga humu jukwaani mat.ako wazi kila mahali kuandika ujinga najaribu kupata picture umri wako ni kiasi gani nakosa jibu but nimehisi wewe ni bank teller amma NMB au crdb una mkopo wa ist unaona maisha umeyapatia ila ipo siku inakuja utatamani uje kufuta japo herufi moja ya unayoaandika humu ushindwe.

Kinachofanywa ndani ya Taifa hili siyo cha kufurahia unakuja msoto mmoja hujawahi ona na huu hauchagui huyu ni ccm huyu hana chama wote cha mtemakuni mtakiona!
Mm naishi kwa shemeji, namtegemea dada akate mauno vzr huko chumban ili nipate kuishi.
CCM au upinzani kushinda mm hainisaidii chochote ila nyie upinzani tumieni akili kwenye mambo yenu, mlitegemea kushinda kupitia kura za huruma lkn watanzania wamewanyoosha.

Bungen badala ya kukaa na kujadili mambo ya maana lkn ndo kwanza kupinga kila kitu, na wakat wa coronavirus ety mkasema tufungiwe ndani (hv ht ww una akili timamu kweli ww, yn ufungiwe ndan hlf utakula hewa au.?) Tulien hvy hvy iwaingie vzr

Magufuli mume wenu
 
Hivi wewe uliamini kabisa kuwa Chadema watashinda? Pole sana na msisikitike sana jifunzeni pale mlipojikwaa.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA

Naomba nisaidie kitu mkuu. Chadema imejikwaa wapi? Na inajifunzaje?
 
Yaani wewe unavyopuyanga humu jukwaani mat.ako wazi kila mahali kuandika ujinga najaribu kupata picture umri wako ni kiasi gani nakosa jibu but nimehisi wewe ni bank teller amma NMB au crdb una mkopo wa ist unaona maisha umeyapatia ila ipo siku inakuja utatamani uje kufuta japo herufi moja ya unayoaandika humu ushindwe.

Kinachofanywa ndani ya Taifa hili siyo cha kufurahia unakuja msoto mmoja hujawahi ona na huu hauchagui huyu ni ccm huyu hana chama wote cha mtemakuni mtakiona!
Sema tutakiona mkuu
 
Pamoja na kwamba tumekosa udambwi dambwi bungeni
Heche, Mbowe, Mdee, Matiko, Bulaya, nk
Lakini kuna kitu cha kujifunza hapa
Tuangalie wabunge hawa ndan ya miaka 5 wamefanya nn? Au wamelifanyia nn Taifa

Tangia awamu ya tano iingie madarakani
Wapinzani kila kitu wanapinga tu
Mara wajizibe midogo
Mara wamesusia bajeti
Kipindi cha corona wametoka nje ya bunge
Leo wametolewa bungeni mazima kwa mijibu wa katiba
Kura azikutosha kelele sasa za nini?
hata wangeteuliwa kuwa wabunge wangekuwa wanasusa susa tu ,,
Ni kheri wakae nje mazima
Kwa sasa huwezi kuona impact ya kilichofanyika. Subiri ipite miaka miwili. Ukweli mwingine ni kwamba tunaweza kushuhudia maendeleo makubwa ya vitu na baadhi ya watz maisha yao kuboreka ila uhuru wa kujieleza ukawa maiti.
 
Ukweli mchungu ni kuwa shamrashamra zikishapungua, mwenyekiti wao bila kificho atawaambia kupitia umma kuwa sasa ni wakati wa kulipa fadhila. Haiingii akilini uwang'oe Mdee, Mbowe, Lema, Mbilinyi, Bulaya, Heche, Matiko, Msigwa na usilipe fadhili (price to pay).

Jiandaeni kisaikolojia. Jiandaeni kutumika kama pampas ndani ya chama chenu hicho hicho. Jiandaeni kufungwa midomo. Jiandaeni na utumwa huru.

Najua wengi nafsi hazina kicheko japo kinywani vipo. Dr. Tulia kasema mwenyewe hawakustahili. Sio kauli ya kubeza tu. Wameona uhalisia na sasa wanashangaa

Ni kama Yuda aliyetamani kuvitema vipande vya fedha ikashindikana kwa kuwa ilibidi maandiko yatimie, ila ole wake ambaye maandiko yametimia kwa njia ya yeye.
Yatatumika mpka makalio yapate sugu,bunge limejaa utopolo na wachumia tumbo tu
 
Yaani wewe unavyopuyanga humu jukwaani mat.ako wazi kila mahali kuandika ujinga najaribu kupata picture umri wako ni kiasi gani nakosa jibu but nimehisi wewe ni bank teller amma NMB au crdb una mkopo wa ist unaona maisha umeyapatia ila ipo siku inakuja utatamani uje kufuta japo herufi moja ya unayoaandika humu ushindwe.

Kinachofanywa ndani ya Taifa hili siyo cha kufurahia unakuja msoto mmoja hujawahi ona na huu hauchagui huyu ni ccm huyu hana chama wote cha mtemakuni mtakiona!
Acha kutishia nyau wewe
 
Hivi wewe uliamini kabisa kuwa Chadema watashinda? Pole sana na msisikitike sana jifunzeni pale mlipojikwaa.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Hawa watu hawawezi kujifunza hata kidogo, wanachokijua wao ni mihemko tu.

Ukweli wanaufahamu, sema kiburi tu kinawasumbua
 
Back
Top Bottom