Uchaguzi 2020 Nawaonea huruma madiwani na wabunge waliopitishwa kwa tiketi ya CCM

Ukweli mchungu ni kuwa shamrashamra zikishapungua, mwenyekiti wao bila kificho atawaambia kupitia umma kuwa sasa ni wakati wa kulipa fadhila. Haiingii akilini uwang'oe Mdee, Mbowe, Lema, Mbilinyi, Bulaya, Heche, Matiko, Msigwa na usilipe fadhili (price to pay).

Jiandaeni kisaikolojia. Jiandaeni kutumika kama pampas ndani ya chama chenu hicho hicho. Jiandaeni kufungwa midomo. Jiandaeni na utumwa huru.

Najua wengi nafsi hazina kicheko japo kinywani vipo. Dr. Tulia kasema mwenyewe hawakustahili. Sio kauli ya kubeza tu. Wameona uhalisia na sasa wanashangaa

Ni kama Yuda aliyetamani kuvitema vipande vya fedha ikashindikana kwa kuwa ilibidi maandiko yatimie, ila ole wake ambaye maandiko yametimia kwa njia ya yeye.
Kina Bulaya sasa wataanza kujiuza kwa buku buku tu, kisiasa ndiyo marehemu kabisaaaaa kuanzia leo hii. Wameshakuwa kama Lipumba na Membe walioambulia kura moja moja katika baadhi ya majimbo.
 
Kina Bulaya sasa wataanza kujiuza kwa buku buku tu, kisiasa ndiyo marehemu kabisaaaaa kuanzia leo hii. Wameshakuwa kama Lipumba na Membe walioambulia kura moja moja katika baadhi ya majimbo.
Kwani kulikuwa na uchaguzi? Maana CCM imeulawiti na kuubaka uchaguzi huu kwa njia haramu za kishetani
 
Ndugu mlokozi sayansi na uhuni ni vitu viwili tofauti na havitengamani.
By the way, mshamaliza mlokuwa mnafanya basi fungulieni mitandao.
Wizi wao uchakachuaji tayari sijui ni kwa nini hawataki kufungua Whatsapp
 
Tuache siku ziongee.
Siku zite Mungu hajawahi kuwahi wala kuchelewa.
Wakimaliza sherehe zao na Mungu atakuja na ujira wao mkononi
Mungu ana makusudi yake katika hili.
Pamoja na ccm kushinda kwa 120% na chadema kutokuwepo bungeni utashangaa bado wabunge na wana ccm hawataacha kuitaja chadema kama inawakwamisha Arusha isiwe kalifonyaaa
Sipati Picha ukubwa wa hiyo sherehe utakuwaje na sijui itachukua siku ngapi

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Umelawitiwa kimawazo sawasawa.Bado muda mchache tutaongea lugha ,tutalia pamoja.tuko ndani ya chama kimoja.WEKA AKIBA YA MANENO,USISAHAU KURUDI HAPA.Ni punguani tu pekee anaweza kushangilia upinzani bungeni kuuawa.
Pole sana maisha ni yaleyale kama umezoea kuishi kijanjajanja kweli utalia...sijui kwanini mmeingia uoga kiasi hiko.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Usiharibu maana ya sayansi. Akija kukuibia mtu akaondoka na TV yako utasema katumia sayansi? Think!
Hakuna aliyeibiwa kama ulienda kwenye polling station wale waliokuwa mashabiki wenu hawakutokea kabisaa.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
I can see how you are grieving..poleni sana ndio siasa hiyoo mchezo wasayansi na kushambuliana golini kwa zamu wakati wa kampeni jukwaa mliliteka ila sasa ni vilio na malalamishi.

Jipangeni uchaguzi ujao.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Mkuu! Hata wajipange vipi,vyama vya upinzani hawatafanikiwa,siyo kwa sababu hawapendwi ila ni kwa sababu mazingira ya uchaguzi yanakuwa magumu kwa wapinzani. Wasimamizi wa vituo wengi kama siyo wote ni makada, maaskari wote walikuwa makada, mawakala wa upinzani ni ama walihongwa au walikataliwa kabisa kuingia vituoni kimabavu.
Kwa heri upinzani Tanzania, kwa heri uhuru,haki na furaha.
Mimi ni mwana CCM, lakini kwa sasa sina furaha kabisa na matokeo haya.
 
Hakuna aliyeibiwa kama ulienda kwenye polling station wale waliokuwa mashabiki wenu hawakutokea kabisaa.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Aisee... Una roho kutu balaa
 
Inaelekea wewe ndio umeanza kuishi kwa shidashida sasa, wengine tumeishi hivyo tangu tunazaliwa ila sasaivi tuna kanafuu japo mama ntilie hatulipi ushuru wa zile elfu5 kwa siku hata hospitali tunapata huduma, shuleni watoto wanaenda na barabara zinapitika.
Kwa kweli kwetu wa maisha ya chini kuna kaahueni kubwa serikali hii
Unajidanganya.The worst is yet to come!
 
Back
Top Bottom