Ndugu mlokozi sayansi na uhuni ni vitu viwili tofauti na havitengamani.I can see how you are grieving..poleni sana ndio siasa hiyoo mchezo wasayansi na kushambuliana golini kwa zamu wakati wa kampeni jukwaa mliliteka ila sasa ni vilio na malalamishi.
Jipangeni uchaguzi ujao.
Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Wewe endelea kuugulia penicillin injection na kitaalamu huwa wanasema haifai kuchomwa kwenye jua kali na ukishachomwa shruti ukae kwanza..zingatia hayo MikeHuwa ninasema kila siku akili ya muafrika the best it can do ni kuvukia barabara, not logical and rational thinking... Imagine mtu anashangilia kupangiwa mtu wa kumtawala, imagine licha ya kuona jirani yake, ndugu yake na Mtanzania mwenzake abadhulumiwa haki yake, ameumizwa na wengine kuuawa but yeye ndiyo kwanza anakenua meno kwa furaha. Na hapo wala hatarajii kupata chochote wakati wenzake waliyofanya hayo wanategemea malipo au fadhila....
Kunywa cocacola pressure ishuke kamanda yaani imepigwa blancoo upo chali hahahah!Ndugu mlokozi sayansi na uhuni ni vitu viwili tofauti na havitengamani.
By the way, mshamaliza mlokuwa mnafanya basi fungulieni mitandao.
Piga spana babaSometimes mtu unaweza kutumia nguvu nyingi kukamilisha uovu ulioupanga ila ukishakamilisha, unaweza kukaa chini na kuanza kujuta na kujiulaumu.
Coca-Cola si tiba ya hypertension, hiki unachofurahia impact yake inakuhusu unless you are an insider.Kunywa cocacola pressure ishuke kamanda yaani imepigwa blancoo upo chali hahahah!
Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Hivi wewe uliamini kabisa kuwa Chadema watashinda? Pole sana na msisikitike sana jifunzeni pale mlipojikwaa.Coca-Cola si tiba ya hypertension, hiki unachofurahia impact yake inakuhusu unless you are an insider.
Mm naishi kwa shemeji, namtegemea dada akate mauno vzr huko chumban ili nipate kuishi.Yaani wewe unavyopuyanga humu jukwaani mat.ako wazi kila mahali kuandika ujinga najaribu kupata picture umri wako ni kiasi gani nakosa jibu but nimehisi wewe ni bank teller amma NMB au crdb una mkopo wa ist unaona maisha umeyapatia ila ipo siku inakuja utatamani uje kufuta japo herufi moja ya unayoaandika humu ushindwe.
Kinachofanywa ndani ya Taifa hili siyo cha kufurahia unakuja msoto mmoja hujawahi ona na huu hauchagui huyu ni ccm huyu hana chama wote cha mtemakuni mtakiona!
Who is that one?Kuna mtu akifa leo hii,mitandaoni na mitaani itakuwa ni sherehe.
Hivi wewe uliamini kabisa kuwa Chadema watashinda? Pole sana na msisikitike sana jifunzeni pale mlipojikwaa.
Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Sema tutakiona mkuuYaani wewe unavyopuyanga humu jukwaani mat.ako wazi kila mahali kuandika ujinga najaribu kupata picture umri wako ni kiasi gani nakosa jibu but nimehisi wewe ni bank teller amma NMB au crdb una mkopo wa ist unaona maisha umeyapatia ila ipo siku inakuja utatamani uje kufuta japo herufi moja ya unayoaandika humu ushindwe.
Kinachofanywa ndani ya Taifa hili siyo cha kufurahia unakuja msoto mmoja hujawahi ona na huu hauchagui huyu ni ccm huyu hana chama wote cha mtemakuni mtakiona!
Kwa sasa huwezi kuona impact ya kilichofanyika. Subiri ipite miaka miwili. Ukweli mwingine ni kwamba tunaweza kushuhudia maendeleo makubwa ya vitu na baadhi ya watz maisha yao kuboreka ila uhuru wa kujieleza ukawa maiti.Pamoja na kwamba tumekosa udambwi dambwi bungeni
Heche, Mbowe, Mdee, Matiko, Bulaya, nk
Lakini kuna kitu cha kujifunza hapa
Tuangalie wabunge hawa ndan ya miaka 5 wamefanya nn? Au wamelifanyia nn Taifa
Tangia awamu ya tano iingie madarakani
Wapinzani kila kitu wanapinga tu
Mara wajizibe midogo
Mara wamesusia bajeti
Kipindi cha corona wametoka nje ya bunge
Leo wametolewa bungeni mazima kwa mijibu wa katiba
Kura azikutosha kelele sasa za nini?
hata wangeteuliwa kuwa wabunge wangekuwa wanasusa susa tu ,,
Ni kheri wakae nje mazima
Mbona Lissu kwenye kampeni zake kila siku alikuwa anamponda Magufuli badala ya kumwaga sera za maendeleo?Usishangae na michango mingi bungeni, ikawa lazima waponde upinzani badala ya kujadili maendeleo.
Yatatumika mpka makalio yapate sugu,bunge limejaa utopolo na wachumia tumbo tuUkweli mchungu ni kuwa shamrashamra zikishapungua, mwenyekiti wao bila kificho atawaambia kupitia umma kuwa sasa ni wakati wa kulipa fadhila. Haiingii akilini uwang'oe Mdee, Mbowe, Lema, Mbilinyi, Bulaya, Heche, Matiko, Msigwa na usilipe fadhili (price to pay).
Jiandaeni kisaikolojia. Jiandaeni kutumika kama pampas ndani ya chama chenu hicho hicho. Jiandaeni kufungwa midomo. Jiandaeni na utumwa huru.
Najua wengi nafsi hazina kicheko japo kinywani vipo. Dr. Tulia kasema mwenyewe hawakustahili. Sio kauli ya kubeza tu. Wameona uhalisia na sasa wanashangaa
Ni kama Yuda aliyetamani kuvitema vipande vya fedha ikashindikana kwa kuwa ilibidi maandiko yatimie, ila ole wake ambaye maandiko yametimia kwa njia ya yeye.
Acha kutishia nyau weweYaani wewe unavyopuyanga humu jukwaani mat.ako wazi kila mahali kuandika ujinga najaribu kupata picture umri wako ni kiasi gani nakosa jibu but nimehisi wewe ni bank teller amma NMB au crdb una mkopo wa ist unaona maisha umeyapatia ila ipo siku inakuja utatamani uje kufuta japo herufi moja ya unayoaandika humu ushindwe.
Kinachofanywa ndani ya Taifa hili siyo cha kufurahia unakuja msoto mmoja hujawahi ona na huu hauchagui huyu ni ccm huyu hana chama wote cha mtemakuni mtakiona!
Wasi wasi wenuSema tutakiona mkuu
Hawa watu hawawezi kujifunza hata kidogo, wanachokijua wao ni mihemko tu.Hivi wewe uliamini kabisa kuwa Chadema watashinda? Pole sana na msisikitike sana jifunzeni pale mlipojikwaa.
Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA