Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 12,594
- 17,725
Hapo chini ya hicho ulicho google umesoma malizia kusoma kote kisha sema kwa sauti kuwa wewe ni ZUZU
Hapo chini ya hicho ulicho google umesoma malizia kusoma kote kisha sema kwa sauti kuwa wewe ni ZUZU
Nchi kubwa kama US ,Russia and the like Wana mobile bridges,wao kwao daraja ni sehemu ya silahaacha ujinga wewe Kuna majeshi ya anga Kuna majeshi ya majini na ardhini Sasa hata akivunja Hilo daraja itasaidia Nini mkuu !?
Kweli haelewi alielewa Kama mmBlaza acha kuendelea kujiaibisha geography inakupiga chenga
Halafu sasa wanajifanya wajuzi wa maswala ya vita,ukisoma comment zao unaishia kucheka tu.Wanaopiga ngoma ya vita humu ndani sana sana ni vijana ambao hawaelewi madhara ya vita hata wakati Tanzania anapigana na Uganda mwaka 1978/1979 walikuwa hawapo duniani hivyo hawajui vita ni kitu gani na hawajui kwamba kufuatia hivyo vita na Uganda ndio Tanzania ilipata kilema cha kudumu kiuchumi.
huo uwezo upo mdomoni au kwa vitendo?kama kampiga sadam na gadafi na bado duniani mambo yanaenda,ampige na mrusi.alafu uone ulaya itakavyofutika ndani ya dk sifuri...Mmarekani anachoangalia ni adhari kwa kwake na kwa dunia, uwezo wa kumpiga mrusi anao tena wakutosha tu, tatizo lipo baada ya kumpiga matokeo yake ndio yanayoogopesha.
Mungu azidi kuwaongoza kwa busara na hekima kwani ata wahenga walisema ni bora nusu shari kuliko shari kamili.
uko sahihi,wengi hawajui kuwa north korea na russia zipo karibu na marekani,hawajui dunia ni kama mpira,zamani ilikuwa kutoka urusi mpaka marekani,ni sawa na kutoka airport mpaka kariakoo..Wewe unaongea nini? Hujui unacho ungelea eti uwezo anao wa kumpiga lakini eti litakalo tekea baada ya kumpiga ndo anacho uogapa, kwamatiki hiyo US hana ubabe wakumpiga Mrusi kabisa, Russia imepakana na US kama hujui US ndo atakae lia vibaya akiingia kwenye hiyo vita.
Humtakii mema na NATO yake...Marekani ni TIGER PAPER
Kwahali ilivyo Ukraine angeweza hata ku mobilize UN kutuma vikos kuitimua Russia
anaziweza tu nchi za Africa.
Wote watateketea kuna siraha za sumu nk hivyo siku zote marekani ataipisha urusi kwenye maslai mapana ya mrusi na mrusi atampisha marekani kwenye maslai mapana ya marekani ila wanaweza kuchapana nje ya nchi zao tu ,marekani hawezi dhubutu kushambulia urusi hata siku moja maana huo utakuwa mwisho wao woteMarekani itateketea alafu Urusi ndio haitateketea?!
Rafiki nchi kubwa kama USA na Russia na wenzao daraja sio issue, Nimeshindwa kuweka picha .ila Search kupitia YouTubeUkrane kalivunja daraja lake , hakuna tena warusia kuingia ukrane na waliopo watarudi russia wakiwa maiti.
Kazi ndio inaanza.
Babu nakutilia mashaka kwamba uelewi geography huu umbali Ni za miji na mji unazungumzia nchi kwa nchi ..mji wa New York na moscow lazm kuwe mbali babu ila Russian na Americans Ni mataifa yalioko karibu tu Ni bahar ndio imewatenganisha
kwa taarifa yako zamani kabla russia hajamuuzia marekani ardhi yake,umbali kati yao ulikuwa sawa na kutoka airport mpaka kariakoo,,,fatilia mambo,dunia ni duara kama mpira,sio flat kama karatasi...Russia kapakana na Marekani kivipi mkuu? Russia ni far east wakati Marekani ipo west zaidi na umbali kutoka Marekani hadi Russia ni kilometres za kufa mtu.
Urusi ipo karibu na nchi za Ulaya tena ulaya ya mashariki sasa unaposema ipo karibu na Marekani kidogo nashindwa kuelewa.
Hata tofauti ya masaa tu Urusi siku inaanza kubadilika kisha baada ya masaa zaidi ya 10 ndo siku hiyo hiyo inabadilika Marekani.
We huna akili kabisa,hiyo screen shot inasema hizo kilometa ni kutoka New York to Moscow,sasa wenzako wanakuuliza umbali wa Russia to USA maana yake unatakiwa kuchukua closest point between them ndo upime.Hizo ni km ngapi?View attachment 2130738
Nimemwelekeza a Google YouTube ,acha ujinga wewe Kuna majeshi ya anga Kuna majeshi ya majini na ardhini Sasa hata akivunja Hilo daraja itasaidia Nini mkuu !?
wewe utakuwa ,,muha,,sio kwa ubishi huoNipime kwa kutumia nini? Kwasababu inavyojulikana ni kwamba Urusi ipo mashariki ya mbali na Marekani ipo magharibi sasa umbali wa mashariki ya mbali na magharibi ni karibu?
Tofauti tu ya masaa ni kubwa mno kati ya Marekani na Urusi halafu niamini eti ni nchi jirani? Kwa maana hiyo New Zealand ambayo nayo ipo mashariki ya mbali tuseme ipo jirani na Marekani?
Ata mabom yote ya dunia nzima yapigwe alaska, haitoungana na bahari, thats the fact, fanya calculation ya energy held by nuclear weapons utajuaUS alishaambiwa akiijaribu Urusi basi Alaska itakuwa bahari(kama kumbukumbu ziko sawa).
Na ikumbukwe Alaska ilinunuliwa toka USSR
Bila shaka wewe ni miongoni mwa zile division four za 28 zilizokuwa zinapewa go-ahead kipindi fulani.Ramani naijua vema tangu darasa la 4 na huu uongo wao kwamba dunia ni kama tufe sijui mviringo.
Tafuta kwenye vyanzo vyako vya kuaminika uone umbali halisi kati ya miji ya New York Marekani hadi Moscow Urusi ni kilometres ngapi?
Kakosa akili tu, amepigwa na hoja akaona anachoambiwa ni ukweli ila kwakua hataki kukubali kuwa alipuyanga basi anaamua kubisha kimakusudi tu.wewe utakuwa ,,muha,,sio kwa ubishi huo
We unamatatizo sana watu wanapanga vifaa Kama daraja tu hapo gari zinapitaUkrane kalivunja daraja lake , hakuna tena warusia kuingia ukrane na waliopo watarudi russia wakiwa maiti.
Kazi ndio inaanza.
Kwa aina hii ya wasomi badi Tz itaendelea kuwa Taifa la ajabu tu.Hata Liberia na Marekani zinatenganishwa na bahari tu sasa tuseme ni majirani wakati kuna maelfu ya miles?