Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 12,498
- 17,574
Hivi wewe unajua kazi ya siraha za nyuklia ,uwezi kumpiga mrusi bila ya kupigana vita vya nuclear, ni lazima marekani itateketea tuMmarekani anachoangalia ni adhari kwa kwake na kwa dunia, uwezo wa kumpiga mrusi anao tena wakutosha tu, tatizo lipo baada ya kumpiga matokeo yake ndio yanayoogopesha.
Mungu azidi kuwaongoza kwa busara na hekima kwani ata wahenga walisema ni bora nusu shari kuliko shari kamili.