Nawakumbusha wanaJF, Russia alipeleka Jeshi kumlinda Nicolas Maduro ila Marekani kashindwa kumlinda Rais wa Ukraine

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,228
12,954
Rafiki wa kweli wakati wa shida tu
Nakumbuka mzozo wa Venezuela jinsi Maduro alitikiswa na nchi za Magharibi huku wakimtambua Juan Guaido kuwa ndiyo Rais wa Venezuela lakini Russia haikutupa mkono mshirika wake wa karibu Nikola's Maduro ambae ndiye Rais wa Venezuela.

Urusi ilituma wanajeshi kabisa kumlinda Nicolas Maduro

Na kama haitoshi Urusi ikapeleka ndege vita kuilinda Venezuera ila inchi za Magharibi zilisitisha operation hiyo na mpaka leo Maduro yupo madarakan ni mshirika wa karibu wa Russia

Ilikuwa 2019 hiiView attachment 2130573
D2c0RePX4AAvR7B.jpg
 
Rafiki wa kweli wakati wa shida tu
Nakumbuka mzozo wa Venezuela jinsi Maduro alitikiswa na nchi za Magharibi huku wakimtambua Juan Guaido kuwa ndiyo Rais wa Venezuela lakini Russia haikutupa mkono mshirika wake wa karibu Nikola's Maduro ambae ndiye Rais wa Venezuela.

Urusi ilituma wanajeshi kabisa kumlinda Nicolas Maduro

Na kama haitoshi Urusi ikapeleka ndege vita kuilinda Venezuera ila inchi za Magharibi zilisitisha operation hiyo na mpaka leo Maduro yupo madarakan ni mshirika wa karibu wa Russia

Ilikuwa 2019 hiiView attachment 2130573View attachment 2130574
Sio tuu Maduro hats Bashar Al Assad wa sirya
 
Mmarekani anachoangalia ni adhari kwa kwake na kwa dunia, uwezo wa kumpiga mrusi anao tena wakutosha tu, tatizo lipo baada ya kumpiga matokeo yake ndio yanayoogopesha.

Mungu azidi kuwaongoza kwa busara na hekima kwani ata wahenga walisema ni bora nusu shari kuliko shari kamili.
 
Marekani sio kama anaogopa kuingia Venezuela ila anahofia vita karibu na mipaka yake itakuja kupiganwa ndani ya nchi yake kitu ambacho ni mbaya sana, miji ya New York na California na miji mengine itaingia hasara sana, Venezuela hana cha kupoteza,

Marekani atapigana mbali na mipaka yake huko karibu hatii mguu
 
Mmarekani anachoangalia ni adhari kwa kwake na kwa dunia, uwezo wa kumpiga mrusi anao tena wakutosha tu, tatizo lipo baada ya kumpiga matokeo yake ndio yanayoogopesha.
Mungu azidi kuwaongoza kwa busara na hekima kwani ata wahenga walisema ni bora nusu shari kuliko shari kamili.
Wewe unaongea nini? Hujui unacho ungelea eti uwezo anao wa kumpiga lakini eti litakalo tekea baada ya kumpiga ndo anacho ogopa, kwa matiki hiyo US hana ubabe wakumpiga Mrusi kabisa, Russia imepakana na US kama hujui US ndo atakae lia vibaya akiingia kwenye hiyo vita.
 
Wewe unaongea nini? Hujui unacho ungelea eti uwezo anao wa kumpiga lakini eti litakalo tekea baada ya kumpiga ndo anacho uogapa, kwamatiki hiyo US hana ubabe wakumpiga Mrusi kabisa, Russia imepakana na US kama hujui US ndo atakae lia vibaya akiingia kwenye hiyo vita.
Falsafa ya vita vya nyuklia ni kuwa hakunaga mshindi, kwa maana uharibifu utakao tokea huwa ni kwa pande zote zinazo pigana, kubali au ukatae hiyo ndio ipo hivyo.

Matokeo ya vita vya nyuklia huwa ni mabaya sana kwa pande zote zinazopigana na zisizo pigana, busara ndio huongoza wenye akili wasiingie vita vya namna hii.

Nikama kwenye ndoa, busara ya mmoja wapo ndio huwa inanusuru familia nzima, kinyume na hapo familia husambaratika.

KAMA HUTAKI UNAACHA
 
Uko sahihi mkuu.
 
Back
Top Bottom