Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,227
- 12,953
Rafiki wa kweli wakati wa shida tu
Nakumbuka mzozo wa Venezuela jinsi Maduro alitikiswa na nchi za Magharibi huku wakimtambua Juan Guaido kuwa ndiyo Rais wa Venezuela lakini Russia haikutupa mkono mshirika wake wa karibu Nikola's Maduro ambae ndiye Rais wa Venezuela.
Urusi ilituma wanajeshi kabisa kumlinda Nicolas Maduro
Na kama haitoshi Urusi ikapeleka ndege vita kuilinda Venezuera ila inchi za Magharibi zilisitisha operation hiyo na mpaka leo Maduro yupo madarakan ni mshirika wa karibu wa Russia
Ilikuwa 2019 hiiView attachment 2130573

Urusi yatuma ndege yake ya kijeshi Venezuela - BBC News Swahili
Wanajeshi wapatao 100 na kiwango kikubwa cha zana za kijeshi vilishushwa kutoka kwenye ndege, taarifa zimesema
www.bbc.com