Nawakubali Voice of Reason na Babalao

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
Kwa wale wapenzi wa business forum hawa jamaa ni walimu wazuri sana. Siku zote huwa wanasoma thread na kutoa ushauri accordingly. Haka kama haulewi kitu Voice or Reason na Babalao watakuelewesha taratibu na mpaka utaelewa.

Binafsi nashukuru and I am giving you big ups.
 
nakubaliana na wewe.. lakini naomba kuongezea MALILA.. huyu jamaa balaa katika masuala ya kilimo (refer post zake).
 
Wakuu asante sana I really Appreciate lakini ukweli ni kwamba wote tunajifunza mengi kutoka kwa kila mtu, nadhani Forum ni njia muhimu ya kupeana ushauri ninapokosea mwingine anarekebisha, na kuongezea na kama kuna vitu nilikuwa sivijui najifunza..... Nawapa Big Up wadau wote wa JF na Management ya JF...., Nimegundua hapa kuna talent za kutosha na tukizitumia vema tutafanikiwa mengi
 
Kwa wale wapenzi wa business forum hawa jamaa ni walimu wazuri sana. Siku zote huwa wanasoma thread na kutoa ushauri accordingly. Haka kama haulewi kitu Voice or Reason na Babalao watakuelewesha taratibu na mpaka utaelewa.

Binafsi nashukuru and I am giving you big ups.

Nahisi watakua walimu wa stadi za maisha.
 
VoR yuko kila kona! Pia 3D mcangiaji mzuri na Malila.......na kila mwanaJF anayechangia kona hii!:clap2:
 
Bug up to you VoR and BabaLao,

Mie si mwenyeji sana hapa lakini nawakubali sana tu!
 
Ni kweli kabisa, VOR ana kipaji katika kuelimisha kuhusu masuala mbali mbali ya maisha... Kwa kweli kila bandiko lake ninalosoma huwa kuna kitu najifunza....

Mungu akubariki VOR.........
 
Both are smart & firm on issues, calm, independent and wisely, friendlier.
I lov reading their threads tena keenful
 
Mimi Babalao Nimepokea pongezi hizi kwa mikono miwili lakini namuomba mwenyezi Mungu ili anipe unyenyekevu nisije nikavimba kichwa nikajiona ninajua kuliko wengine, falsafa yangu ni kuendelea kujifunza mpaka mwisho wa uhai wangu. Asanteni kwa kunipongeza naomba kwa wale mnaotaka tuonane ana kwa ana mje Chai Day tarehe 5/2/2011 nitakuwepo na nina vitu adimu nitakuwa navyo bila kusahau, nitakuwa na kitabu changu maarufu- Mbinu za biashara na maarifa ya kupata pesa na utajiri. Nampongeza pia Voice of reason japo sikumbuki kusoma threads zake sasa nitaanza kuzisoma. Maoni yangu kuhusu JF ninapenda michango ya watu wote kwani hapa tunapingana bila kupigana tunaelimishana tunajenga urafiki na umoja pia tunapata burudani tosha na kukosoana pale ambapo mtu anapokosea haya ndiyo maisha. JF kuna vipaji vichwa BIG UP JF
 
Nampongeza pia Voice of reason japo sikumbuki kusoma threads zake sasa nitaanza kuzisoma.

Mkuu tumekutana once or twice kwenye posts na kuna hii hapa ambapo ulichangia ninakujibu lakini nadhani haujapata muda wa kurudi hapa https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/98843-utajiri-sio-uchawi-akili-au-bahati%85-ni-kanuni-tu%85.html I would really like to continue the discussion nadhani ulichangia post #09 nikakujibu #10.... Asante and really appreciate mchango wako and all JF members.., and through discussions we all become better.
 
hata mm na wakubali hawa watu 2 na nimefurai nimebahatika kuonana na babalao na nikichwa kwelikweli hope one day nitaonana na voice of reason naipenda JF nimepata marafiki vichwa kila nyanja muhimu
 
Mimi Babalao Nimepokea pongezi hizi kwa mikono miwili lakini namuomba mwenyezi Mungu ili anipe unyenyekevu nisije nikavimba kichwa nikajiona ninajua kuliko wengine, falsafa yangu ni kuendelea kujifunza mpaka mwisho wa uhai wangu. Asanteni kwa kunipongeza naomba kwa wale mnaotaka tuonane ana kwa ana mje Chai Day tarehe 5/2/2011 nitakuwepo na nina vitu adimu nitakuwa navyo bila kusahau, nitakuwa na kitabu changu maarufu- Mbinu za biashara na maarifa ya kupata pesa na utajiri. Nampongeza pia Voice of reason japo sikumbuki kusoma threads zake sasa nitaanza kuzisoma. Maoni yangu kuhusu JF ninapenda michango ya watu wote kwani hapa tunapingana bila kupigana tunaelimishana tunajenga urafiki na umoja pia tunapata burudani tosha na kukosoana pale ambapo mtu anapokosea haya ndiyo maisha. JF kuna vipaji vichwa BIG UP JF

Chai day ndo wapi huko?
 
Chai Day ulikuwa mkutano wa wana JF kujadili kuhusu kilimo. Ilifanyika siku ya jumamosi tarehe 5/2/2011 pale Lunch time hotel opposite UDSM Hostel. Kama hukufika subiri nyingine itaitishwa hivi karibuni.
 
Mimi Babalao Nimepokea pongezi hizi kwa mikono miwili lakini namuomba mwenyezi Mungu ili anipe unyenyekevu nisije nikavimba kichwa nikajiona ninajua kuliko wengine, falsafa yangu ni kuendelea kujifunza mpaka mwisho wa uhai wangu. Asanteni kwa kunipongeza naomba kwa wale mnaotaka tuonane ana kwa ana mje Chai Day tarehe 5/2/2011 nitakuwepo na nina vitu adimu nitakuwa navyo bila kusahau, nitakuwa na kitabu changu maarufu- Mbinu za biashara na maarifa ya kupata pesa na utajiri. Nampongeza pia Voice of reason japo sikumbuki kusoma threads zake sasa nitaanza kuzisoma. Maoni yangu kuhusu JF ninapenda michango ya watu wote kwani hapa tunapingana bila kupigana tunaelimishana tunajenga urafiki na umoja pia tunapata burudani tosha na kukosoana pale ambapo mtu anapokosea haya ndiyo maisha. JF kuna vipaji vichwa BIG UP JF
Nauliza tu. U tajiri kiasi gani mkuu? Hizo mbinu umejaribu kuzitumia na ukaona zinafanya kazi? How valid and reliable is your book relative to our business environment?
 
hata mimi sitaki kuficha pongezi kwa watu ambao ni msaada mkubwa katika jukwaa hili , kweli VOR na Babalao bila kumsahau LAT ni watu wamhimu sana .
we appreaciate u guyz for ur devotion and service pertaining to advice and consultations
 
Raia fulani tafsiri ya utajiri ni kuwa na mbinu za kukujengea uwezo wa kipesa na mali za kukuwezesha kununua chochote unachohitaji ukizijua hizo mbinu zitakusaidia. Mimi mwenyewe ninazitumia mbinu hizi kwa mfano mimi ni mwajiriwa bado, lakini kwa kutumia mbinu zilizomo kwenye kitabu changu ninao uwezo wa kuingiza kipato changu ninacholipwa na mwajiri wangu kwa mwezi mmoja kwa kazi yangu binafsi ya siku 1. Kitabu hiki ni Kinazo success stories kwa mfano mtu mmoja anaitwa Komba yuko Songea alikinunua kitabu changu mwanzoni mwa mwaka 2010 mwishoni mwa mwaka huo nilimtembelea na kukuta maisha yake yamebadilika. Yeye alikuwa mkulima wa kawaida baada ya mwaka mmoja alikuwa anamiliki mashine ya kusaga na kufungua biashara ya ukandarasi, Shuguli zake zote zilikua zikienda vizuri na zinamwingizia pesa nyingi, Kitabu changu kimewawezesha watu 2 kutunga vitabu na kuanza kujiingizia kipato.
 
Bilashaka majemedali pongezi ziwafikie Babalao,Voice,Malila,Kanyagio,N mzalendo,Lazydog,Cheusimangara,Stretmastar,Ngombezi na wote wana JF kwaujumla napia wote wlio Fika siku ya chai wamenyesha uwezo wa JF na wametupa moyo nasisi hivyo faneni kweli jamani JF inatisha simchezo vichwa vimeaa humu
pia nashukuru jopo zima lilosimamia kuhakikisha kikao kinafanyika mkuu Kanyagio juhudi zako zimeonekana kama ulivyosema kwenye siginecha yako UOGAWAKO NDIO UMASIKINIWAKO.mkuu hukuogopa kuacha shughuli zako nakutumikia kuhakikisha kikao kinafanyi
Wakuu mbarikiwe
 
Back
Top Bottom