Nawakubali Voice of Reason na Babalao

Raia fulani tafsiri ya utajiri ni kuwa na mbinu za kukujengea uwezo wa kipesa na mali za kukuwezesha kununua chochote unachohitaji ukizijua hizo mbinu zitakusaidia. Mimi mwenyewe ninazitumia mbinu hizi kwa mfano mimi ni mwajiriwa bado, lakini kwa kutumia mbinu zilizomo kwenye kitabu changu ninao uwezo wa kuingiza kipato changu ninacholipwa na mwajiri wangu kwa mwezi mmoja kwa kazi yangu binafsi ya siku 1. Kitabu hiki ni Kinazo success stories kwa mfano mtu mmoja anaitwa Komba yuko Songea alikinunua kitabu changu mwanzoni mwa mwaka 2010 mwishoni mwa mwaka huo nilimtembelea na kukuta maisha yake yamebadilika. Yeye alikuwa mkulima wa kawaida baada ya mwaka mmoja alikuwa anamiliki mashine ya kusaga na kufungua biashara ya ukandarasi, Shuguli zake zote zilikua zikienda vizuri na zinamwingizia pesa nyingi, Kitabu changu kimewawezesha watu 2 kutunga vitabu na kuanza kujiingizia kipato.
Nimekupata ndugu. All the best
 
Ninawaheshimu sana JF members wote kwa michago yao hasa katika Business Forum, lakini pongezi za pekee ziwafikie waliotajwa katika thread hii kwa michango yao kwa kweli nimeelimika katika mambo mengi na ninaendelea kujifunza.

Mkuu MALILA na KANYAGIO najua tumewapa jukumu kubwa katika kuhakikisha tunavuka visingiti vyote vilivyopo mbele katika kufikia lengo kuu; naomba MUNGU awajalie Afya njema ninyi pamoja na familia zenu, nguvu na ari katika kutekeleza majukumu yaliyo mbele yetu.

"PAMOJA TUNAWEZA"
 
Back
Top Bottom