Nawakubali sana akinadada wa Singida, Mtwara/Lindi na Tanga

Jamani watu mnangaika sana! Fanyeni hima kupata toto la kimasai ila asiwe mzawa wa town bali kijijiniii... Utafurahi mwenyewe. Kikubwa ni heshima, usikivu na wanatambua thamani ya mwanaume na ndoa kwa ujumla. Mengine mambo ya unyumba ni mambo ya kujadiliana na kufunzana
Nasikia wanajua kuandaa mtindi tu.
 
tatizo hawana uchoyo na mtu, hugawa kama njugu hiyo ni sifa mojawapo ninayoijua wanayo, pia hawana uaminifu hata chembe, vile vile mara nyingi wakikusaliti wala hawangaiki kwenda mbali yaani atazunguka kwa rafiki zako wa karibu muda mwingine hata ndugu zako kuwa makini, lakini sana sana wanapendaga sana mafundi cherehani, mafundi viatu, wauza maji, wauza samaki na wtu wajihusisha na sanaa ya muziki, taarabu, chakachaka, mchiriki, vanga, mkotengoma, mdumange n.k wengi wao wana fake love
 
Back
Top Bottom