Nawakubali sana akinadada wa Singida, Mtwara/Lindi na Tanga

Akina dada wote TZ wanakubalika, huo ni mtazamo wako tu pia ni ubaguzi wa kikabila.
Ngoja nikueleze kitu ndugu, Mkoa atokako mtu patabaki kuwa mkoa tu,Kabila la mtu litabaki kuwa kabila tu na Tabia ya mtu itabaki kuwa hivyo.
Tambua ya kuwa Dada mzuri ni yule mwenye hekima na maadili mema si vinginevyo!!!!!!!!!!
 
Nalo wazo mkuu.
 
Nimesoma maoni ya wadau wote ila sitasema sana . But hata siku moja mtu unayejiita GT huwezi tambua kuwa life style imeegemea zaidi kwenye fikra na matakwa ya mtu mwenyewe? Japo jamii inayomzunguka na asili ya jamii aliyotokea vina nafasi ndogo sana kwenye hilo. BINTI AU MKE NI MKWE TUU INATEGEMEANA NA YEYE NA SIYO ALIPOTOKEA. Mbona niliioa mwarabu mwanzoni ila alikuwa hafanyi wanayodai ?

du alikuwa hafanyi! walikuwa wanakusaidia wenzio.
 
(Ulimakafu;gumi unaziweza?)

Waulize Wakurya ni ngumi zipi? hata wewe utaziweza kama upo energetic
 
Jamani watu mnangaika sana! Fanyeni hima kupata toto la kimasai ila asiwe mzawa wa town bali kijijiniii... Utafurahi mwenyewe. Kikubwa ni heshima, usikivu na wanatambua thamani ya mwanaume na ndoa kwa ujumla. Mengine mambo ya unyumba ni mambo ya kujadiliana na kufunzana
 
Back
Top Bottom