Nawakaribisha kuunda secret society kama Freemasons

sijuhi kama kuna kitu kinaitwa kuchelewa, ingawa leo ndio nauona uzi huu naomba kuunganishwa,
0717801086
 
Jambo la maana mkuu lakini hapo kwenye tittle kunatia ukakasi, kwa maelezo thread inaashiria economic vision lakini title inaashiria beyond that mpaka imetutia hofu
 
Mimi Pia nahitaj. Nilikua mwalim nikaacha. Kwasasa ni Mountain Guide, Kilimanjaro ila na hapo nina mpango wa kuacha nijitupe shamban. Nmeshaanza kuandaa shamba na nataka niende na nyanya pamoja Na vitunguu. Kwasasa naish mosh kama yupo member yesterday maeneo haya tunaweza fahamiana tukaimarisha ubrother hood.
 
wazo lako ni zuri naunga mkono. ila kwanini iwe kama freemoson? kuwa umoja wa siri kunaambatana na mambo ya siri, mason wana mitambiko.
 
hapa tunadanganyana huwezi kutumikia mabwana wawili kwa maana kama ukiamini kuajiriwa ni utumwa basi ni mlengo wa wale wanataka kutafuta mali kwa jitihada ili wawe matajiri lakini yale uliyoyataja baadae kama vipengele sio sifa za wasaka mali bali ni sifa za wanaharakati na ambao hawawezi kuwa matajiri. pambanua vizuri malengo yako
uko sawa mkuu!
 
Back
Top Bottom