Nawakaribisha kuunda secret society kama Freemasons

Mpango mzima ungezungumzia japo kwa maneno matano kusu kifo mana hapo ndo panapoumiza vchwa pipo ila suala la mafanikio ya mali hlo jepesi mana suala la jamii za sir si gen masikion mwa watu mida hii mf juz 2mezika mtu wa path society ila kisanga kilianza bada ya mamake kulia makaburin mana jamaa walimuwakia kwa kauli za utata kuwa jamaa hajafa ila amerealize tu hiyo stage ambayo pia angeweza kutemana na hyo stage kitambo mana wapo walioamua kuiacha hiyo hatua kitambo kwa kuwa bado hawakumaliza project zao mbalimbali mfano za uzaz,kujenga nchi nk hivyo basi hamna kulia ila huyo mtu wanayemlilia kama kufa kashakufa muda tu isipokuwa wiki tuliyomzika ndo ilikuwa rasmi kwake kwenda mchangani
 
Ikaja hatua ya ushairi mana hakuna kusali kwa hao jamaa si ndo kuhani wao akauliza nani mwengine kafa wakanyoosha mikono kama jamaa watano hivi kwa wahudhuriaji wakaombwa waende wakaulize maswali kwa hao juu ya mpango mzima unaoendelea kaburini,kwan kuna mtu hata alienda nikaona live kama kujiziuka wapo walojiziuka xo jipange jamii za siri zina nambo ya ajabu jembe
 
Hii sio secret society..hii ni business partnership...mnasukumwa na kutafuta hela,mkishapata hela then whaaat?mtaridhika na chama kitafufa!...mnaendeshwa na mihemuko ya hela,wrong motives.....motives ziwe beyond "hela"...freemansory ni fratenity,sio business partnership,na infact business prtnerships zinafunguliwa kwa jazba/mihemko ya njaa/kipato,na 100% yake hua zitakufa tuu njaa ikiisha.....

Fratenity zinaseek to unlock unlimited inner potential,na monetary wealth ni byproduct...wanaseek kucontrol the world,na money ni kasehem kdogo tu...ni kama dini vile,tena wanadai dini ni kitu kidogo compared to this...ni accult...na mara nyingi wanaoingia tayari wana mafanikio,wanatafuta self inner free being...hapa naona ni njaa tu ya vibiashara then hela ikipatikana chama kinakufa,sijaona purpose hasa

Ndo mana pesa wameweka mbele wakati wengine tunaumizwa na kifo bengu kitu gani wangu hata masikini anaweza pata raha pasi na kula bats
 
Mafioso, red giant na mshinyanga add me pliz. Ila tubadili lugha za secret society na pamoja brotherhood . Mwanva zona ukakasi. Ni main I yangu wakuu.
 
1. asiamini katika kuajiriwa na kama ameajiriwa awe anaonyesha jitihada zinazoonekana kujitoa huko. aamini kuajiriwa ni utumwa na binadamu hakuumbwa kuishi kwa kuajiriwa na imani hii isitokane na yeye kukosa ajira.

duhhhh mkuu hii point yako imeniacha njee kidogo.
sasaaaa dahhhh kama kila mtu anataka kuwa "BOSS"
nani atafanya kazi?

unapoajiriwa ndipo unapojifunza moja mbili, tatu kuhusu biashara
au jinsi kazi zinavyoenda . hata kama hupendi kazi yako bado kuna
kitu utajifunza..

Anyway niwatakie kila lakheri.
 
Wakati naandika huu uzi nilikuwa na wazo kwamba ni vizuri watu wenye mawazo yanayofanana tukafahamiana. Mfano kazi yako, ulipo, jinsi, umri , elimu, professionals n.k. na data za kila mwana socieyt zikawa available kwa wote. Hii itasaidia sana, mfano mtu ukitaka mtu wa kuptner naye kwenye ufugaji wa kuku unachagua utaye ona anakufaa kutoka ndani ya society. Au ukiwa unatafuta mfanyabiashara unaangalia profile ya mtu na mnaanza mchakato. Inakuwa kama bamboo network. Bamboo network ni mkusanyiko wa wajasiriamali wa kichina ambao hushirikiana kwenye biashara. Mtandao huu umedominate sana biashara south east Asia.

Pia baadae tukijuana vizuri tunaweza tukawa tunajiunga na kununua ardhi na kuwekeza. Hii itatusaidia sana .kwanza tukiwa kikundi itakuwa rahisi kupata ardhi kuliko mtu mmoja mmoja. Pia wana society kwavile tunatoka sehemu mbalimbali na tunataarifa tofauti kuhusu ardhi itatusaidia kupata ardhi bora, kwa bei nzuri na tutaitumia vizuri zaidi.

kwa sasa siko katika position ya kuorganise ila naona kuna memba hapa Akohi anaweza hii shughuli. Tumuombe atuorganise. Hii kitu hadi ije ipate muelekeo itahitaji kazi kubwa na na uvumilivu mwingi. Lakini kwa vile tunaunganishwa na mawazo yanayoendana hamna kikwazo kitakuwa kikubwa kutushinda. Msingi wetu ni kuwa na mawazo yanayofanana maswala ya kuchangishana pesa yatakuja baadae na itakuwa kwa wanaotaka. Motto wa Mossad unasema "Where no counsel is, the people fall, but in the multitude of counselors there is safety."


+79241267978.
Niunge kwa hii namba pls
 
Back
Top Bottom