Nawaandikia dada zangu wapendwa.

aaaaaah wamezidi........Heeeh dada huogopi kuwaita MAFATAKI? hawa ni vigogo wa JF,watakugeuzia kibao? hawachelewi.......lakini mimi nilishawasamehe,hawajui walitendalo.
Hey, Preta; Mix with your!!
 
au naenda na yangu....basii

mie condom ilikuwa muhimu kwenye handbag yangu, wakati naanzana na shem wako alikuwa ana wac na mie sana, mana akifanya hivi na vile namwambia ucjali hii hapa, akawa ananihic vibaya mbona kila wakati hiyo kitu ipo kwenye handbag, na mwenyewe alibembeleza sana "tumeshazoeana sasa"..kwangu ilikuwa big no, c unajua zile za kushtukiza unatoka job unapitia kwake?...lol.... mpaka tukafikia malengo mengine...Preta uwe unamvalisha kabisa kabisa.
 
Hichi kifaa unakuwa amekificha wapi?? na akikosea kulenga akajichoma??
Unajua kuna njia rahisi sana ya kufanya condom ipasuke, kwanza ivae uhakikishe chuchu imejaa hewa, then anza kwa kasi kama ya Portugal! utaona matokeo yake! (kujilipua)
 
Unajua kuna njia rahisi sana ya kufanya condom ipasuke, kwanza ivae uhakikishe chuchu imejaa hewa, then anza kwa kasi kama ya Portugal! utaona matokeo yake! (kujilipua)

Leo kazi ipo,haya na wewe ni enzi za mwalimu au ni hizi za kikwete.
 
Chric wewe ulioa na bikira?...mie wangu alikuwa hana so tukakutana wote hatuna.
 
Unajua kuna njia rahisi sana ya kufanya condom ipasuke, kwanza ivae uhakikishe chuchu imejaa hewa, then anza kwa kasi kama ya Portugal! utaona matokeo yake! (kujilipua)

Hahahahaha! ngoja niende lunch kwanza. Kwa hiyo inakuwa kama jabulani siyo? Manake inawapa shida sana magolikipa eti!!
 
Chric wewe ulioa na bikira?...mie wangu alikuwa hana so tukakutana wote hatuna.

Mimi nilioa nikiwa tayari na mauzoefu ya mechi live za mchangani (hata kama kale kabinti kaliniuzia mtoto, dunia inajua, akiwemo mumewe, kuwa nilishawahi kukamega)....Ila waifu sijui kama alikuwa bikira au laa! Mi wala hata sijui bikira maana yake nini.
 
hivi mpaka mwanaume anatoboa kondom wewe unakuwa wapi?....mie nilikuwaga makini kupita maelezo, kwanza lazima nikuvalishe mwenyewe, hutaki vaa kakaptula kako utulie.
unafikiri uwa zinatobolewa wakati wa kuvaa ni wakati ule umeshapoteza mawasiliano au kipindi ameshavaa anakupiga katerero mwenyewe umefumba macho ndio pale anatoboa mbona zipo hizo demu ngumu sana kujua labda ukute flava za ngozi kwa ngozi zimezidi mbona wengine uwa wanavua kabisa na demu hagundui
 
mimi nilioa nikiwa tayari na mauzoefu ya mechi live za mchangani (hata kama kale kabinti kaliniuzia mtoto, dunia inajua, akiwemo mumewe, kuwa nilishawahi kukamega)....ila waifu sijui kama alikuwa bikira au laa! Mi wala hata sijui bikira maana yake nini.
sasa mkuu kwa vile umesema hata maana ya bikra hujui ni nini, yaani nimekuelewa sana.
 
Tall asante kwa mada nzuri..Najua wanaume wengi hapa watapinga sana na kujifanya ooh ulijuaje kama kina Chrispin walivyouliza kwa kuwa wao huwa wanafanya hivyo..Nimewahi kusikia habari hii mkaka mmoja alisema bila aibu kwamba yeye huwa anatoba kondomu kwa kuwa anataka apate ladha kamili.Cha kushangaza huyo jamaa anadai na mkewe huwa wanatumia kondomu kama njia ya family planning lakini nje ya ndoa marafuku kutumia kondomu ikibidi hivyo basi huwa anatoboa..Iko kazi!
 
Dada Remy habari za masiku? Ulipotelea wapi tena?

Hebu nambie kwa ma-experience yako na mauzoefu kuna kidume kilishawahi kukutobolea kondom? (samahani kama nimeingia uvunguni)
 
Back
Top Bottom