Nawaandikia dada zangu wapendwa.

Mi niko interestedi zaidi na kujua kifaa anachotumia bwana Tolu kutoboa kondomu. Sindano? Pini au Mwiba?

Usiniambie mpwa unataka kujaribu kama hiyo njia anayotumia inaweza kweli kutoboa au la,na ikishatoboka inakuwaje!!!! Maana wengine udadisi mlianza tangu mkiwa tumboni.
 
Asante sana Tall kwa upendo wako juu ya kina dada..
Kama wapo wenye tabia mbaya na ukatili wa jinsi hii lazima iko siku watajutia maamuzi yao mabovu
 
Hahahaha! LOL

Kwanza nijue kifaa. Nikishakijua ntarudi kwa mtaalamu wa utoboaji mheshimiwa sana TOLU anipe faida na hasara zake. Baada ya hapo ntajua cha kufanya. TOLU pliiiz, hebu nambie huwa unatoboa hizo kondomu kwa kifaa gani?
 
Kumbe na wewe slow learner kumbe? Stuka binamu!!!
 
usiniambie mpwa unataka kujaribu kama hiyo njia anayotumia inaweza kweli kutoboa au la,na ikishatoboka inakuwaje!!!! Maana wengine udadisi mlianza tangu mkiwa tumboni.
1.kuna mtu hapa kakiri wazi kuwa alishafanya hivyo.
2.humuulizi huyo unamuuliza tall ambae hajasemakuwa alishatoboa........hata hivyo umeeleweka mkuu.una lako jambo mkuu.
 
Hahahaha! LOL

Kwanza nijue kifaa. Nikishakijua ntarudi kwa mtaalamu wa utoboaji mheshimiwa sana TOLU anipe faida na hasara zake. Baada ya hapo ntajua cha kufanya. TOLU pliiiz, hebu nambie huwa unatoboa hizo kondomu kwa kifaa gani?
SASA BADO NI ASUBUHI,LAKINI LABDA NIKUULIZE SWALI MOJA MKUU,HADI SASA GLASS NGAPI UMELAMBA? MAANA NAWEZA ONGEA NA WEWE KUMBE MWENZANGU UPO NZWEEEEEE,TUTAELEWANA?ANGALIA NILISHAPOKEA THANKS MBILI HADI SASA.......UNAFIKIRI HAO WANAKUONAJE?................................ HALAFU NIMESEMA WAZI ''NAWAANDIKIA DADA ZANGU''MIMI NILIDHANI.....HAIKUHUSU HII THREAD ,KUMBE!!!!!!....UNAJUA UKIMKAMATA MWIZI,RAHISI SANA KUKUGEUZIA WEWE KIBAO......HAPO WAJANJA WALISHAJUA NANI MTOBOAJI NA NANI SI MTOBOAJI..........KWA THREAD HII LAZIMA LEO MKAKAGULIWE.....ha ha ha ha ha poleni sana,aaaaaah potelea mbali mmezidi.FIKIRINI NA MAISHA YA WENZENU.....SIYO TALL KAWAHARIBIA.......BADILIKENI....samahani kama nakukwaza.
 
Sema Tall,usiwaogope maFATAKI.ushawaharibia dili zao.
aaaaaah wamezidi........Heeeh dada huogopi kuwaita MAFATAKI? hawa ni vigogo wa JF,watakugeuzia kibao? hawachelewi.......lakini mimi nilishawasamehe,hawajui walitendalo.
 
Sema Tall,usiwaogope maFATAKI.ushawaharibia dili zao.
I AM TIRED OF ILLUSIONS !!!!!!!!!!!!!!!!!!
Jiwe walilokataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni!:A S-rose:

SASA BADO NI ASUBUHI,LAKINI LABDA NIKUULIZE SWALI MOJA MKUU,HADI SASA GLASS NGAPI UMELAMBA? MAANA NAWEZA ONGEA NA WEWE KUMBE MWENZANGU UPO NZWEEEEEE,TUTAELEWANA?ANGALIA NILISHAPOKEA THANKS MBILI HADI SASA.......UNAFIKIRI HAO WANAKUONAJE?................................ HALAFU NIMESEMA WAZI ''NAWAANDIKIA DADA ZANGU''MIMI NILIDHANI.....HAIKUHUSU HII THREAD ,KUMBE!!!!!!....UNAJUA UKIMKAMATA MWIZI,RAHISI SANA KUKUGEUZIA WEWE KIBAO......HAPO WAJANJA WALISHAJUA NANI MTOBOAJI NA NANI SI MTOBOAJI..........KWA THREAD HII LAZIMA LEO MKAKAGULIWE.....ha ha ha ha ha poleni sana,aaaaaah potelea mbali mmezidi.FIKIRINI NA MAISHA YA WENZENU.....SIYO TALL KAWAHARIBIA.......BADILIKENI....samahani kama nakukwaza.
Na nyingine hiyo hapo chini!!!

The Following User Says Thank You to Tall For This Useful Post:
Chrispin (Today)
 
hivi mpaka mwanaume anatoboa kondom wewe unakuwa wapi?....mie nilikuwaga makini kupita maelezo, kwanza lazima nikuvalishe mwenyewe, hutaki vaa kakaptula kako utulie.
 
au naenda na yangu....basii
 
i am tired of illusions !!!!!!!!!!!!!!!!!!
Jiwe walilokataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni!:a s-rose:

Na nyingine hiyo hapo chini!!!

The following user says thank you to tall for this useful post:
Chrispin (today)
mkuu kwa mfano mtu ukiwa na konyagi tatu kichwani......everything will be illusions to you.
 
hivi mpaka mwanaume anatoboa kondom wewe unakuwa wapi?....mie nilikuwaga makini kupita maelezo, kwanza lazima nikuvalishe mwenyewe, hutaki vaa kakaptula kako utulie.

Ha ha ha ha ha,enzi za mwalimu zilikuwa zina mambo.Hapo kwenye red umeniacha hoi bin taabani.
 
Leo ndio nimejua, kumbe uliolewa ukiwa huna bikira!!

au naenda na yangu....basii
Leo ndio nimejua, kumbe wewe si muaminifu (unaendaga gesti na kondomu zako kudumisha mila)

Ha ha ha ha ha,enzi za mwalimu zilikuwa zina mambo.Hapo kwenye red umeniacha hoi bin taabani.
Na wewe sasa utaharibu subiri niendelee na utafiti wangu. Watastuka hawa!
 
Back
Top Bottom